Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
4,928
Reaction score
8,976
Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha?

Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza?

Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
 
Attachments

  • Polish_20230423_093158473.jpg
    Polish_20230423_093158473.jpg
    125.1 KB · Views: 5
Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha?

Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza?

Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
Hakuna shida idadi ya watoto haiwezi kuwa sawa na wakubwa,ukitaka ujue data sahihi tumia takwinu za 2012 linganisha walokuwa na miaka 20 kipindi hicho walikuwa wangapi saizi itabidi wawe na 30 je wako wangapi hapo utapata death rate

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kumbe na mimi nijiandae, sababu interval yangu yarange humo humo.
 
Hakuna shida idadi ya watoto haiwezi kuwa sawa na wakubwa,ukitaka ujue data sahihi tumia takwinu za 2012 linganisha walokuwa na miaka 20 kipindi hicho walikuwa wangapi saizi itabidi wawe na 30 je wako wangapi hapo utapata death rate

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hebu tumia akili kidogo.

Watu wenye miaka 18+ ni milioni 4+?

Kwahiyo, hao watu wameshindwa kuzeeka?

Au wako wapi, maana watu wenye miaka kuanzia 25+ wamepungua sana
 
ni miaka ambayo wengi wanakata moto kwa Ngoma
ambayo possibly waliukwaa kipindi cha 20s huko
Sambamba na hlo , sababu kuu ni kuwa na uchumi wa kuranda randa , miaka hyo ndo watu huongeza bidii za utaftaji na wengi hufia huko safarini , ajali na n.k, tujitahd kujenga uchumi wa kukufanya uwe karbu na nyumbani always, sio mtu mda wote upo safarini unaranda randa miaka yote et utaftaji , familia iko dsm , kuja kuonana nayo ni baada ya miez mitatu au minne , unakaa wiki moja huyo unasepa , nchi yetu ni red baton kwa ajali , huko utashawishika na ngono ni kuleta magonjwa , huku utachapiwa mke na kulea watoto wasio wako
 
Bila kumung'unya maneno ngoma inachangia pakubwa. Miaka 30 ni umri mdogo sana, miaka hii ukifikisha umri wa miaka 40 bila maambukizi ya UKIMWI shukuru Mungu na chukua tahadhari zaidi kujilinda na maambukizi hayo ili angalau ufikishe umri wa miaka 70 japo ajali nazo ni kitisho kikubwa
 
Hivi ukimwi bado huko kweli?
 
Kama taifa tuzuea ARV kwanza alafu tufute huu ugonjwa then ndo turudi kujenga uchumi
 
Back
Top Bottom