SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

Edward Mangapi

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
126
Reaction score
66

SENSA 2022​

Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza.

nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini inaleta nifanye editing ya sehemu inizoja ambazo ziko sahihi ilhali sehemu niliyokosea haileti.

FORM niliyoijaza ya maombi ya kazi ya sensa 2022 ina sehemu tatu yaani sehemu A ni kujaza taarifa zangu binafsi, sehemu ya B ni kijaza taarifa za wadhamini wawili na sehemu C ni kujaza taarifa au viambatanishi vya vyeti.

Sasa nikienda sehemu ya KUHUISHA taarifa kwa ajiri ya kufanya marekebisho ya majina mdhamini, zinatokea sehemu mbili tu yaani sehemu A na sehemu C ambazo zimejazwa kwa ufasaha Ila sehemu B haionekani kwa aijri ya KUHUISHA taarifa ya Wadhamini ambazo nimekosea, nahitaji kufanya marekebisho.

USHAURI WANGU: Nikipakuwa form hiyo harafu nikaifanyia marekebisho form kwa kufuta na correction pen na kuandika majina kwa ufasaha kwa mkono harafu nika pakia form mtandaoni, je nitakuwa nimekosea? Maana nimewapigia simu huduma kwa wateja wao nao wananambia labda kuna shida ya mtandao kwenye mfumo wao na hawajui wanisaidiaje na muda wa kutuma maombi unakaribia kuisha.

Wewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.

Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)

Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi

Achana na masensa wewe
 
SENSA 2022.​

Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza.
nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini inaleta nifanye editing ya sehemu inizoja ambazo ziko sahihi ilhali sehemu niliyokosea haileti.

FORM niliyoijaza ya maombi ya kazi ya sensa 2022 ina sehemu tatu yaani sehemu A ni kujaza taarifa zangu binafsi, sehemu ya B ni kijaza taarifa za wadhamini wawili na sehemu C ni kujaza taarifa au viambatanishi vya vyeti.
Sasa nikienda sehemu ya KUHUISHA taarifa kwa ajiri ya kufanya marekebisho ya majina mdhamini, zinatokea sehemu mbili tu yaani sehemu A na sehemu C ambazo zimejazwa kwa ufasaha Ila sehemu B haionekani kwa aijri ya KUHUISHA taarifa ya Wadhamini ambazo nimekosea, nahitaji kufanya marekebisho.

USHAURI WANGU, nikipakuwa form hiyo harafu nikaifanyia marekebisho form kwa kufuta na correction pen na kuandika majina kwa ufasaha kwa mkono harafu nika pakia form mtandaoni, je nitakuwa nimekosea? maana nimewapigia simu huduma kwa wateja wao nao wananambia labda kuna shida ya mtandao kwenye mfumo wao na hawajui wanisaidiaje na muda wa kutuma maombi unakaribia kuisha.

Haufai, utatuvurugia sensa kwani unapupa ya kujaza fomu kabla ya kusoma na kuyaelewa maelekezo.
Ninahisi umetoka kwenye kundi la walioandika majina ya anuani za makazi.
 
Wewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.

Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)

Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi

Achana na masensa wewe
Kwani hii sensa wanalipwa shilingi ngapi?
 
Achana na masensa
 
Hi,mimi ni IT Technician (Diploma) huo mchongo nimeuelewa naomba maelekezi zaidi. Nawezaje ku-apply mkuu? Shukran.
 
Kweli watu hawapendi kujiajiri au hawana mtaji?.

Yaani huku mtaani wanaokimbizana serikali ya mtaa kujaza hizo fomu ni weengi sana yaani.

Ukiachilia mbali wale 100,000+ walioomba nafasi ya ualimu wakati wanatakiwa 9,800 kuna majanga makubwa sana.
 
Wewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.

Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)

Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi

Achana na masensa wewe
Hatarii sana. Ukiwambia ukweli wanasema wanachangamkia fursa.
Sensa ni fursa,ko lazima waichangamkie.
 
Haufai, utatuvurugia sensa kwani unapupa ya kujaza fomu kabla ya kusoma na kuyaelewa maelekezo.
Ninahisi umetoka kwenye kundi la walioandika majina ya anuani za makazi.
Kweli huyu ni kilaza tu kama ni mwalimu atakuwa mwalimu wa mchongo tu, kujaza fomu tu imezengua je kufanya hiyo kazi nyeti sindio utaboronga balaa
 
Wewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.

Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)

Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi

Achana na masensa wewe
Wewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.

Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)

Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi

Achana na masensa wewe
 
Hivi ukitaka kuomba kwenye mtandao unatakiwa kuombea eneo ulilopo au unaweza kuombea popote pale na uka submit hiyo form,mfano mimi niko Dar kwa muda naweza kuomba hiyo kazi mtandaoni kwa kazi ya kufanyia Kilombero...?
 
Wewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.

Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)

Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi

Achana na masensa wewe
Wabongo mna DNA za WIVU, CHUKI, ROHO MBAYA na UNAFIKI.

Hapa unakuta JITU limeomba lakini linajifanya hiyo kazi haliwezi kufanya, malipo kidogo.

Stupid
 
Nimepakia ukurasa mmoja tu wa fomu namba 1 kurasa inayofuata imekosa sehemu ya kupakilia.
 
Back
Top Bottom