Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mkuu sio kuwa wanapenda!Kweli watu hawapendi kujiajiri au hawana mtaji?.
Yaani huku mtaani wanaokimbizana serikali ya mtaa kujaza hizo fomu ni weengi sana yaani.
Ukiachilia mbali wale 100,000+ walioomba nafasi ya ualimu wakati wanatakiwa 9,800 kuna majanga makubwa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]Ni maneno ya mkosaji, hakuna mtu mwenye hela anayeweza kutumia maneno kama yako.
Omba kazi ya sensa uje kuzurura nyumbani kwangu nikupe data za uongo ukaendeleze umasikini wako
Omba kazi ya sensa uje uhesabu watu ila umasikini utakutesa sana wewe mtu wa sensaWewe jamaa ni mwalimu kama sio basi basi kazi yako inashabihiana na hiyo.
Mshahara wako(kama unao kweli) hauzidi laki 6 na haupungui laki 2.
Sikujui ila kwa hizi ngonjera zako we ni kapuku.
Ila pia kuna asilimia 55 zinaniambia wewe ni jobless.
Pesa ina tabia ya kujitangaza huwa haitangazwi.
Wote hatuwezi kuwa huko,na wote hatuwezi kukunja mahela mengi,raha ya utajiri kuwepo na maskiniWewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.
Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)
Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi
Achana na masensa wewe
πππ Tajiri wa keyboard.Omba kazi ya sensa uje uhesabu watu ila umasikini utakutesa sana wewe mtu wa sensa
πππ Tajiri wa keyboard.
Mkuu hii jf isikudanganye, usidhani wanaosema wana magari humu basi wanayo kweli, mwisho wa siku na ww ukataka kujinadi kama wao.
Ishi maisha yako ticha, shauri yako Don wa mchongo.
Hujabisha hizo figure zangu, hope zinaelekeana na ukweli πππ.
Enewei vipi umeshapeleka form kwa mtendaji au bado system inakusumbua??
Upo njombe, makete, mbeya, moshi au Arusha ndgu πππ.
Mkuu huyu ni wewe?
Ndio ni mimi keyboard warrior πMkuu huyu ni wewe?
Nipo IlembulaUpo njombe, makete, mbeya, moshi au Arusha ndgu πππ.
Sawasawa mkuu pole sana maana baridi la huko naskia si mchezo.Nipo Ilembula
Oyaa hiii ni kazi gani nina diploma ya medical niambie nifanyeje nijiungeWewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.
Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)
Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi
Achana na masensa wewe
Kama upo dodoma nenda Ilazo yapo makao makuu yao wenzako wanakuja hadi laki 6+.Oyaa hiii ni kazi gani nina diploma ya medical niambie nifanyeje nijiunge