Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

Makosa haya ya kitakwimu zimefanyika kwa makosa au makusudi?
Ukiangalia idadi ya watu 2022 ni 61,871,120 huku ukijumlisha idadi ya wanawake 31,687,990+ wanaume 30,281,130 ni sawa na watu 62,218,120 na siyo 61,871,120.Vipi hapo?
 
 
Kutangaza idadi ya watu mpaka pawepo na misafara ya v-8 wakati uswahilini maji hayatoki bombani, hizo pesa wanazochezea wangekuwa wanazitumia hata kuchimba visima ningewaona wa maana, wao wanawaza anasa tu.
Ccm ya viwonder
 
Rais Samia anafuja pesa pasipo sababu ya msingi.

Angepokea hii taarifa ya sensa na kuisoma akiwa Ikulu angeokoa pesa nyingi sana na angeelekeza bajeti hii kwenye mambo muhimu.
Kwani imetumika sh?
 
Kwa nini sensa ya mwaka huu imepewa shamra shamra kubwa kiasi hiki? Kuna mikoa nadhani idadi ya watu imeonyeshwa ina watu wachache sana na kisa sijui ni nini??? Ni hisia tu sina ushahidi. Kuna mikoa watu ni wengi kuliko ilivyotarajiwa kama Zanzibar???. Je data hizi zimewekwa kisiasa tena??? je cake ya Taifa itagawanywa kwa kufuata Population??? ua utashi wa kisiasa???. Naomba nielimishwe.
 
Sasa idadi ya watu na Siasa wapi na wapi?
 
Sasa idadi ya watu na Siasa wapi na wapi?
Gtaxiiiii elewa nachokizungumza how do you dis-associate sensor and politics my friend, hapo kuna majimbo issue and so forth do not be blind my friend. Sensor is an issue of economics, division of national cake etc. How blind can you be.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…