Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Kusini Pemba ina wakazi wangapi?
Bado idadi yao kutolewa...Kusini Pemba ina wakazi wangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusini Pemba ina wakazi wangapi?
Bado idadi yao kutolewa...Kusini Pemba ina wakazi wangapi?
Hata ukiangalia data za Pemba unaona kabisa wamekosea kuweka mkato, badala ya laki 2 inasomeka kama Milioni 2Millard Ayo kakosea hizo namba
Bado ni hiyo hiyoNilipokua shule ya msingi 1988,Zanzibar ilikua na mikoa mi5
Usanii waoWatu waliohesabiwa ni 98% na zoezi limefanikiwa kwa 99.99%...sa jiulize hapo
Wewe"laki nane" umeiona wapi. 8,093,169, ndiyo "laki nane"?Mkoa wa Mjini Magharibi(Zanzibar City) ndio Jiji kuu hapo visiwani! Hivyo kuwa na wakaazi laki nane sio ajabu kabisa!
Tuna rigi yetu na jamaa zetu wa mbeya huko
800,000+ ndio hesabu sahihi...Wewe"laki nane" umeiona wapi. 8,093,169, ndiyo "laki nane"?
SAWA.800,000+ ndio hesabu sahihi...
Ana haraka kama cha moko.Millard kaandika mil 8
Na takribani nusu ya watu hao wanaishi kwenye mji mmoja tu, wa eneo lote!Zenji yote idadi ya watu ni milioni 1.8
Sio kwamba miladi ayo kazingua? Rais alitamka mil.1.8 kwa Zanzibar na Mkoa wenye watu wengi ulikuwa laki 8..View attachment 2403155
Mikoa ya zanzibar ina inawatu wengi kuliko mikoa ya Tanzania bara?
View attachment 2403155
Mikoa ya zanzibar ina inawatu wengi kuliko mikoa ya Tanzania bara?
8,093,167Mkoa wa Mjini Magharibi(Zanzibar City) ndio Jiji kuu hapo visiwani! Hivyo kuwa na wakaazi laki nane sio ajabu kabisa!
Hakunaga exactly number kwenye sensa ni makadirio unaweza pita kuhesabu watu leo kesho wakafa. Ama keshokutwa wakazaliwa wengine. Hop umeelewakuuliza c ujinga ila kuuliza sana ni upumbafu
Seriously?Zanzibar wapo laki mbili tu.
Halafu hawatupendi sijui kwanini tunalazimisha muungano