Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

Kumbe Pemba yote inaweza isifikishe wakazi laki 5; lakini wana wabunge wengi kuliko mikoa ya Dar na Mwanza kwa pamoja.

Uwakilishi usio wa haki, wa kinyonyaji.
Kaskazini Pemba, Wabunge 9
Kusini Pemba, Wabunge 9
 
Back
Top Bottom