Sensa ni siku tatu tar 23,24 na 25. Watahesabiwa pale walipokutwa siku ya kwanza ya zoezi. Yaani Kuna watakaoamkia stand, hospital, barabarani Kenye mitaro, guest house na maeneo mengine yasiyomakazi binafsi. Watahesabiwa watu kulingana na walipoamkia siku ya kwanza kwahiyo hata ukisafiri taarifa itajazwa na wanafamilia watakao kutwa pale.