Sensa itachukua siku ngapi? Watu wataenda makazini? Kusafiri mikoani je?

Sensa itachukua siku ngapi? Watu wataenda makazini? Kusafiri mikoani je?

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Wadau naomba kujibiwa maswali yangu haya, ili nijue napangaje ratiba zangu.
 
Sensa ni siku moja…
Either alfajiri / jioni ndio kuhesabiwa…

Utahesabiwa ulipoamkia/ kulalia

Kama ni home, ama loji..

Najua hivyo..
 
ITAKUWA DAY OFF, NO KWENDA KAZINI

Watahesabiwa wale waliokutwa ndani ya makazi siku ya sensa
 
Sensa ni siku tatu tar 23,24 na 25. Watahesabiwa pale walipokutwa siku ya kwanza ya zoezi. Yaani Kuna watakaoamkia stand, hospital, barabarani Kenye mitaro, guest house na maeneo mengine yasiyomakazi binafsi. Watahesabiwa watu kulingana na walipoamkia siku ya kwanza kwahiyo hata ukisafiri taarifa itajazwa na wanafamilia watakao kutwa pale.
 
Back
Top Bottom