Sensa kwa maendeleo? Hapana

Sensa kwa maendeleo? Hapana

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Tumekuwa tukiaminishwa kuwa lengo la sensa ni kuisaidia serikali kupata takwimu zitakazosaidia kugawa keki ya taifa kulingana na idadi ya watu katika sehemu husika. Hiyo inabaki kuwa nadharia tu ila kiuhalisia sio hivyo.

Tumeshuhudia wilaya kama Chato na sehemu nyingine wanakotoka viongozi wakipelekwa miradi mikubwa ya maendeleo isiyoendana na idadi ya watu wa huko.

Ukweli serikali isiyo rafiki kwa watu wake, yenye viongozi wabinafsi haiwezi kusimamia sensa au jambo lolote kubwa kikamilifu.

Tutegemee kupata matokeo ya kupikwa kama ya uchaguzi mkuu wa 2020 huku mabilioni ya kodi na tozo yametafunwa na wajanaja.
 
Wanataka kodi na tozo,maana wanataka na Mali unazomiliki
 
Back
Top Bottom