Tumekuwa tukiaminishwa kuwa lengo la sensa ni kuisaidia serikali kupata takwimu zitakazosaidia kugawa keki ya taifa kulingana na idadi ya watu katika sehemu husika. Hiyo inabaki kuwa nadharia tu ila kiuhalisia sio hivyo.
Tumeshuhudia wilaya kama Chato na sehemu nyingine wanakotoka viongozi wakipelekwa miradi mikubwa ya maendeleo isiyoendana na idadi ya watu wa huko.
Ukweli serikali isiyo rafiki kwa watu wake, yenye viongozi wabinafsi haiwezi kusimamia sensa au jambo lolote kubwa kikamilifu.
Tutegemee kupata matokeo ya kupikwa kama ya uchaguzi mkuu wa 2020 huku mabilioni ya kodi na tozo yametafunwa na wajanaja.