Sensa kwa maendeleo, jiandae kuhesabiwa...

Sensa kwa maendeleo, jiandae kuhesabiwa...

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
1-1661067198567.jpg
IMG-20220821-WA0000.jpg
 
tuko tayari kuhesabiwa hiyo kesho kutwa trh 23/8.
Sensa kwa maendeleo yetu na vizazi vyetu.
 
Sipo tayari mkihitaji mtanikuta shambani kwangu,nimehama mjini nimekerwa na Tozo zenu
Tozo haiepukiki ni lazima, hakuna maendeleo bila tozo, ukitaka maji safi, hospitali zenye vifaa tiba, barabara nzuri, shule nzuri ni lazima ulipe tozo/kodi.

hata raia wa marekanai wanatoa tozo kwa maendeleo yao, mwenzetu wewe ni Raia wa nchi gani duniani ambaye unataka kuishi burebure bila kutozwa?!!!
 
Tozo haiepukiki ni lazima, hakuna maendeleo bila tozo, ukitaka maji safi, hospitali zenye vifaa tiba, barabara nzuri, shule nzuri ni lazima ulipe tozo/kodi.

hata raia wa marekanai wanatoa tozo kwa maendeleo yao, mwenzetu wewe ni Raia wa nchi gani duniani?
Hii ni awamu ya 6,awamo Tano zilizopita ulikuwa unatoa tozo? Hizo huduma ulizozitaja zilikuwa hazipatikani awamu hizo zilizopita? Tunalipa Kodi hatukatai kulipa Kodi ila hatuwezi kulipa Kodi mara mbili mbili
 
kama hutaki basi nenda burundi, tuache sisi tulipe tozo maana tunaona manufaa yake.
 
kama hutaki basi nenda burundi, tuache sisi tulipe tozo maana tunaona manufaa yake.
Siwezi kwenda Burundi hii nchi ni yetu acha umalaya we fala,unajua Kuna takataka wachache ndo wanatuletea haya mambo ya kisenge halafu chawa wao wanayashangilia
 
Watakuta kufuri! Sijui watarudi ????[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi na familia yangu wala hatuna mpango wa kuhesabiwa watagonga mpaka wakauke... data wakafate kwa balozi
 
Back
Top Bottom