Sensa: Leo ni leo, Kazi ni Moja tu!, Kuhesabiwa!

Sensa: Leo ni leo, Kazi ni Moja tu!, Kuhesabiwa!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi
Sensa 1.png
Sensa 2.png
 
Serikali ilipaswa iweke posho kwa wananchi wote maana watatoa muda wao ambao una thamani.

Wananchi nao waweke tozo dhidi ya serikali.
 
B600 zimeteketea 😂 Brother P waanbie UNFPA Sisi tayari tuna idadi ya raia wetu na Ni Siri yetu.
 
Pascal Mayalla kwanza pole na msiba wa Mjomba wako Mzee Wa Kiraracha Mzee Mrema.

Tuhesabiwe kama Mama Bikira Maria Mtakatifu na Mtakatifu Yosefu Mumewe walivyotii serikali na kwenda Yerusalemu Kuhesabiwa.

Maria Mtakatifu Utuombee
Mtakatifu Yosefu Utuombee
 
Watu wanaonyesha ushirikiano mzur sana katika zoezi hili, tena mtu anaulza had mwanangu yupo sehm flan tumuhesabu, na wengne wanataka had waweke kidole cha wino waonkne wamehesabiwa.
 
update:
Za asubuhi Wana JF,
Kumekucha salama!.
Nawa amkua Kwa ile salamu ya Mama Sa💯,
Salaam: " Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Jibu: "Kazi Iendelee....
Kisha tuseme wote kwa pamoja
"leo kazi ni moja tuu, kuhesabiwa!".

Nawatakia Sensa Njema
Paskali
 
Back
Top Bottom