Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
utahesabiwa ulikoamkia leo hata kama haupo.Nakazia tena, binafsi mimi sihesabiwi
Lakini ni kwa nini uwe na moyo huo lakini???????
Usiwe hivyo mkuu. Hizi data zinazokusanywa ni za muhimu sana kwa ustawi wa Taifa siku za usoni.
YESU NI BWANA