update:
Za asubuhi Wana JF,
Kumekucha salama!.
Nawa amkua Kwa ile salamu ya Mama Sa[emoji817],
Salaam: " Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Jibu: "Kazi Iendelee....
Kisha tuseme wote kwa pamoja
"leo kazi ni moja tuu, kuhesabiwa!".
Nawatakia Sensa Njema
Paskali