Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Nchi hii inaumiza sanaIpo wazi kuwa ni katiba mpya. Lakini siku zote mwizi aliejiibia mamlaka hawezi kufanya kitu ambacho anajua kita jeopardise nafasi aliyonayo kama mwizi.
Lazima atafanya mambo mengine kama boshen tu ila ya muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi hawezi kujigusa na ukimgusa kuhusi hilo anakuwa mkali na anaweza kukupa kesi yoyote au kukupoteza. Refer kesi ya FAM.
bajeti ya sense inatoka kwenye uchumi upi?Alisema anajenga uchumi kwanza. Kwa kauli ile, nia hiyo hawana.
naamini bajeti ya sensa ni kubwa mno kuliko ile ya kumalizia uandikwaji wa katiba ya wananchiAlisema anajenga uchumi kwanza. Kwa kauli ile, nia hiyo hawana.
Hio katiba itashuka toka mbinguni?Hii serikali ya ccm inawaona wananchi wake mazwazwa sana ,ila ipo siku nchi hii itakuwa na katiba bora sana,lakini tusikate tamaa katiba mpya soon kwa nguvu zetu tukiidai tutaipata
Hivi sensa maana yake ni taifa halijui lina watu wangapi ama? Kwamba tunazaliana tu kama kuku bila records zozote mahali popote! Katiba imara itaanzisha taasisi imara zitakazotunza records za nchi ipasavyo automatically haya mazoezi ya kuhesabu watu kila miaka 10 yatakuwa yamefikia mwisho.Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza katiba kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha ccm na serikali yake.
Katiba ilishatumia sehemu kubwa ya pesa yetu, maoni ya wananchi yalishachukuliwa nchi nzima. Sehemu iliyobaki ni ndogo ya kumalizia tu.Sensa Sehemu kubwa sio pesa zetu
Ninaamini upo sahihi.bajeti ya sense inatoka kwenye uchumi upi?
naamini bajeti ya sensa ni kubwa mno kuliko ile ya kumalizia uandikwaji wa katiba ya wananchi
Hata hivyo hapa tulipofikia hao wakijani, hawana ujanja tena. KATIBA MPYA ii karibu kufika, ndani ya miaka miwili ijayo itakuwa hapa.Ipo wazi kuwa ni katiba mpya. Lakini siku zote mwizi aliejiibia mamlaka hawezi kufanya kitu ambacho anajua kita jeopardise nafasi aliyonayo kama mwizi.
Lazima atafanya mambo mengine kama boshen tu ila ya muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi hawezi kujigusa na ukimgusa kuhusi hilo anakuwa mkali na anaweza kukupa kesi yoyote au kukupoteza. Refer kesi ya FAM.
Kumbe una chambe ya akili nilijua ni zero kabisa[emoji849]Ipo wazi kuwa ni katiba mpya. Lakini siku zote mwizi aliejiibia mamlaka hawezi kufanya kitu ambacho anajua kita jeopardise nafasi aliyonayo kama mwizi.
Lazima atafanya mambo mengine kama boshen tu ila ya muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi hawezi kujigusa na ukimgusa kuhusi hilo anakuwa mkali na anaweza kukupa kesi yoyote au kukupoteza. Refer kesi ya FAM.
Hapana mkuu mimi akili yangu ina fluctuate kama mvua za vuli.Kumbe una chambe ya akili nilijua ni zero kabisa[emoji849]
ccm ni sawa na makaburu wa africa kusiniHata hivyo hapa tulipofikia hao wakijani, hawana ujanja tena. KATIBA MPYA ii karibu kufika, ndani ya miaka miwili ijayo itakuwa hapa.
Wale wanaojaribu kuizuia ndio wanazidi kuipepea. Kesi ya FAM ni kiashiria tu.
Hakuna mahali/nchi ambayo madhalimu waliupokea na kuukubali utaratibu mpya unaokuja kuharibu maslahi yao. HAKUNA.