Sensa na Katiba Mpya kipi muhimu na kinafaa kupewa kipaumbele?

Hii serikali ya ccm inawaona wananchi wake mazwazwa sana ,ila ipo siku nchi hii itakuwa na katiba bora sana,lakini tusikate tamaa katiba mpya soon kwa nguvu zetu tukiidai tutaipata
 
Ipo wazi kuwa ni katiba mpya. Lakini siku zote mwizi aliejiibia mamlaka hawezi kufanya kitu ambacho anajua kita jeopardise nafasi aliyonayo kama mwizi.

Lazima atafanya mambo mengine kama boshen tu ila ya muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi hawezi kujigusa na ukimgusa kuhusi hilo anakuwa mkali na anaweza kukupa kesi yoyote au kukupoteza. Refer kesi ya FAM.
 
Sensa Sehemu kubwa sio pesa zetu na CCM haiwapunguzii monopoly.
 
Ipo wazi kuwa ni katiba mpya. Lakini siku zote mwizi aliejiibia mamlaka hawezi kufanya kitu ambacho anajua kita jeopardise nafasi aliyonayo kama mwizi.

Lazima atafanya mambo mengine kama boshen tu ila ya muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi hawezi kujigusa na ukimgusa kuhusi hilo anakuwa mkali na anaweza kukupa kesi yoyote au kukupoteza. Refer kesi ya FAM.
Nchi hii inaumiza sana
 
Hii serikali ya ccm inawaona wananchi wake mazwazwa sana ,ila ipo siku nchi hii itakuwa na katiba bora sana,lakini tusikate tamaa katiba mpya soon kwa nguvu zetu tukiidai tutaipata
Hio katiba itashuka toka mbinguni?
 
Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza katiba kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha ccm na serikali yake.
Hivi sensa maana yake ni taifa halijui lina watu wangapi ama? Kwamba tunazaliana tu kama kuku bila records zozote mahali popote! Katiba imara itaanzisha taasisi imara zitakazotunza records za nchi ipasavyo automatically haya mazoezi ya kuhesabu watu kila miaka 10 yatakuwa yamefikia mwisho.
 
Sensa Sehemu kubwa sio pesa zetu
Katiba ilishatumia sehemu kubwa ya pesa yetu, maoni ya wananchi yalishachukuliwa nchi nzima. Sehemu iliyobaki ni ndogo ya kumalizia tu.
 
Ipo wazi kuwa ni katiba mpya. Lakini siku zote mwizi aliejiibia mamlaka hawezi kufanya kitu ambacho anajua kita jeopardise nafasi aliyonayo kama mwizi.

Lazima atafanya mambo mengine kama boshen tu ila ya muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi hawezi kujigusa na ukimgusa kuhusi hilo anakuwa mkali na anaweza kukupa kesi yoyote au kukupoteza. Refer kesi ya FAM.
Hata hivyo hapa tulipofikia hao wakijani, hawana ujanja tena. KATIBA MPYA ii karibu kufika, ndani ya miaka miwili ijayo itakuwa hapa.
Wale wanaojaribu kuizuia ndio wanazidi kuipepea. Kesi ya FAM ni kiashiria tu.

Hakuna mahali/nchi ambayo madhalimu waliupokea na kuukubali utaratibu mpya unaokuja kuharibu maslahi yao. HAKUNA.
 
Kumbe una chambe ya akili nilijua ni zero kabisa[emoji849]
 
Hata hivyo hapa tulipofikia hao wakijani, hawana ujanja tena. KATIBA MPYA ii karibu kufika, ndani ya miaka miwili ijayo itakuwa hapa.
Wale wanaojaribu kuizuia ndio wanazidi kuipepea. Kesi ya FAM ni kiashiria tu.

Hakuna mahali/nchi ambayo madhalimu waliupokea na kuukubali utaratibu mpya unaokuja kuharibu maslahi yao. HAKUNA.
ccm ni sawa na makaburu wa africa kusini
 
Sensa ni muhimu kweli kweli hiyo katiba mpya isubiri kwanza maana hata ya zamani bado wengi wetu hatujaitambua ila sensa ya zamani tunaikumbuka watanzania wengi
 
Back
Top Bottom