Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Maswali yameegemea kwenye kutafuta vyanzo vipya vya mapato! Muda si mrefu majibu yatapatikana tu.Ukichunguza kwa makini haya maswali ya sensa yamelenga kitu tofauti kabisa ila yamepewa jina la sensa tu.
Ni kweli, kama nilivyowahi kusema huko nyuma kuwa waliotunga maswali hawajawahi kushiriki sensa, swali la kama umefiwa hivi karibuni ni swali la kishetani hata ulaya halipo.Ukichunguza kwa makini haya maswali ya sensa yamelenga kitu tofauti kabisa ila yamepewa jina la sensa tu.
Dah kaka unatumia soda gan 😂😂🙏🙏😂🙌Maswali yameegemea kwenye kutafuta vyanzo vipya vya mapato! Muda si mrefu majibu yatapatikana tu...
Kweli kabisa comrade umeongea logic sanaMoja ya mambo muhimu sana kwenye nchi wakati wa sensa ni serikali kujua wananchi wake wanakula milo mingapi kwa siku...
Naona wanamulika idadi ya mabaharia na wasimbeJe umewahi kuolewa na kuachika?! Maswali ya sensa hayo!
Serikali inaona aibu kutokana na wananchi wengi siku hizi wanakula mlo mmoja kwa siku kama utapatikana, hii inamaana wananchi wengi hawana uhakika wa mlo ila wanaendelea kukamuliwa tozo.Fisiemu na walamba asali hawana muda na mambo kama hayo. Hii nchi inaharibiwa na wajinga wachache tu.
Hilo swali ni muhimu sana kwa nchi yenye kujali watu wake na ambayo asilimia kubwa ya watu wake ni masikini kama hii
Ni kweli kabisa wananchi tunakamuliwa sana hadi kupata chakula imekuwa shida. Ukiomba hela sh. 20,000 ndugu akutumie kwa mfano, kuja kukufukia mkononi unakuta sh. 10,000 serikali ya awamu ya sita na kampuni la simu wameshaigawana na kufanya sh. 30,000 imtoke mtoa msaada.Serikali inaona aibu kutokana na wananchi wengi siku hizi wanakula mlo mmoja kwa siku kama utapatikana, hii inamaana wananchi wengi hawana uhakika wa mlo ila wanaendelea kukamuliwa tozo.
Sensa imegeuka kuwa udaku.Je, umewahi kuolewa na kuachika?! Maswali ya sensa hayo!
Swali hili lipo HBS na DHS kwa sensa haiwezekaniMoja ya mambo muhimu sana kwenye nchi wakati wa sensa ni serikali kujua wananchi wake wanakula milo mingapi kwa siku, nilitumai nitaulizwa lakini nikaulizwa kama nina tatizo la kiafya!
Ni vipi unamuuliza hali ya afya yake mtu ambaye hata kupata mlo mmoja kwa siku hana uhakika!
Bahati mbaya waliotunga maswali wao hupata milo minne kila siku, hivyo hawajui kitu kinachoitwa njaa.
Kwanza sensa yenyewe imevurugwa.mpaka leo hii watu kibao hawajahesabiwa na tatizo ni maccm hayataki kushauriwa.zoezi hili lilitakiwa kufanya watendaji wa mitaa na vitongoji ambao ndo haswa wanawajua watu wao.sensa hii ni ya hovyo kuliko sensa zote zilizowahi kutokea.ccm inatakiwa kuondolewa madarakani haraka sana.wabunge wa ccm hawatusaidii.Tuanze upya kwa kuwafuta wabunge wote wa CCM twende na upinzani.Ukichunguza kwa makini haya maswali ya sensa yamelenga kitu tofauti kabisa ila yamepewa jina la sensa tu.
Swali hili lipo HBS na DHS kwa sensa haiwezekani
Kwa sababu zipi za msingi haiwezekani, kama haliwezekani kwanini wameweka swali linalohusu CHOO wakati choo kinahusiana na kitokacho tumboni! Bila kula choo hakina matumizi.Swali hili lipo HBS na DHS kwa sensa haiwezekani
angalia maswali ya sensa hata za kabla ya uhuru hili swali huwa linaulizwa. tunayaita traditional census questions. kila nchi hapa Africa swali hili huulizwa. Lina maana nyingi sana kiafyaKwa sababu zipi za msingi haliwezekani, kama haliwezekani kwanini wameweka swali linalohusu CHOO wakati choo kinahusiana na kitokacho tumboni! Bila kula choo hakina matumizi.
Sasa kwanini serikali imelikwepa wakati swali hili huonesha hali halisi ya uchumi wa nchi kuliko maswali yote mengine!angalia maswali ya sensa hata za kabla ya uhuru hili swali huwa linaulizwa. tunayaita traditional census questions. kila nchi hapa Africa swali hili huulizwa. Lina maana nyingi sana kiafya