Sensa: Usiite watu kwenye interview ikiwa tayari unachaguo lako

Sensa: Usiite watu kwenye interview ikiwa tayari unachaguo lako

frankkilulya

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2022
Posts
590
Reaction score
1,494
Haya yanayoonekana kwenye sensa nadhani ilikuwa ni kuwapotezea watu mda wao tu kwenye interview.

Wakurugenzi na Madiwani tayari walikua na watu wao kwenye zoezi la sensa, Hivyo wanatumia cheo chao kumlazimisha Mtendaji wa kata Kutoyaacha majina ya watu wao.

Kwa hali hii Kweli bongo huwezi kutoboa kama huna connection na mtu wa juu, utaishia kupoteza mda tu.

Wameita watu interview ili kuwapoteza maboya kwamba wameshindwa kwenye interview kumbe watu tayari wana watu wao. ni ajabu kuona familia ya watu watatu wote wamepata na wengine kukosa haiko fair kabisa
 
Vp tabata napo wamepelekwa karani na watu wa mahudhui?naona kila sababu serikali kuwa na uangalizi wa hali ya juu kwny hilo eneo...si ajabu data zisifike NBS
 
Back
Top Bottom