Sensa: Usiite watu kwenye interview ikiwa tayari unachaguo lako

Sensa: Usiite watu kwenye interview ikiwa tayari unachaguo lako

Mimi katika kata yetu wote ninao wajua na wagaigai wenzangu tumelimwa .Mwenzangu alienda kijijini coz alikuwa na connection hatimaye amepata

Funzo:Siku nyingine usijisumbue kama huna connection
 
Mimi nimekosa tehama nna degree kapata mwanafunzi wangu ana certificate ya shortcourse tena compueter application ya mwezi mmoja. Nna degree ya Data management ambapo nimefanya statistics
 
Mimi nimekosa tehama nna degree kapata mwanafunzi wangu ana certificate ya shortcourse tena compueter application ya mwezi mmoja. Nna degree ya Data management ambapo nimefanya statistics
Hii inchi ina mambo ya ajabu sana...
 
Huku kwetu Mbinga waliotuhoji ndio wamekuwa makarani na wasimamizi wa maudhui. Ukiuliza wao wanakuambia ni mwongozo kutoka NBS kuwa walimu wakuu na wakuu wa shule wao wanaingia moja Kwa moja awe ameomba au hajaomba. Inashangaza mno
 
Wamechukua Walimu asilimia 60, Maafisa Kilimo na Maendeleo asilimia 30, Makada na Graduate asilimia 10. Kazi wamepewa walio serikalini. Wengi walioomba walipoteza muda bure. Mungu mwema tupambane mambo mengine.
 
Yani inashangaza sana unakuta mlikuwa group la watu 10 alafu chakushangaza hakuna hata mmoja aliechaguliwa yani mpaka haiingii akilini
 
Back
Top Bottom