Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

Acha vingereza vingi wewe brenda linasaidia nini badala ya kuuliza umeathirika vipi na tozo na kupanda kwa mafuta unaulizwa eti unatumia brenda?.Halafu wewe nawe unakuja na vingereza vyako kama Vanesa mdee hapa.
Basi sawa nilidhani unataka kuelemishwa kumbe unataka ligi tu. Hii nchi tatizo Kila mtu mjuaji, mambo ya wataalam waachieni wataalam otherwise kama hujui kitu kubali kuelimishwa.

Hiyo Brenda ni code tu, ila jibu linakuja kwa combination ya maswali ya UMILIKI
 
Kwa hiyo toka 2012 sensa ilipofanyika mpaka mwaka huu serikali ilikuwa inapata wapi data hizi?

TCRA ipo ya kazi gani?
Estimations tu kupitia takwimu za 2012, mfano kama watu 100 walikua na laptop 2002, then 200 hiyo 2012, hapo unaweza bashiri growth rate kwamba 2022 itakua 300..... So ndio data za miaka 10 zinakua estimations tu za base year husika.

Ila baada ya miaka 10 una update taarifa Ili itumike kufanya estimations za mpaka 2030 huko tukisubiri sensa nyingine!

2. TCRA Ina taarifa zake ila katika tafiti unatakiwa kufanya validity kupitia kutafiti kupitia approach mbili tofauti Ili upime kama italeta majibu sawa. Mfano BOT inajua wangapi Wana akaunti ila Ili kuprove wanaweza weka swali kwa sensa kama Una akaunti Ili wapate uhakiki wa data zao!!

So hata kama swali ni marudio ndio validity na reliability yenyewe hiyo kwenye tafiti.
 
Hii sensa ni ya watu na makazi, hayo mambo mengine ya nini?

Kwa nini mamlaka zinazohusika zisidili na majukumu yao?
 
Kila swali lipo coded, so ukisema ndio au hapana Ina tally kule so Yale maswali yote ya poverty index yatakua bundled in one dummy variable kutoa picha ya index au ratio ya umaskini kupitia "umiliki" wa vitu kadhaa.

Survey nyingi sana za kuhoji kuhusu umaskini huwa maswali hayo yapo.
Mzee whoever coded those kidogo kayumba, maswali meng hayapo relevant..hayo ni madhara ya kuchanganya vitu vya msingi na siasa zao za kipumbavu just because somebody anataka political millage huko mbeleni, mfano mtu anakuuliza chooni kwako unatumiaga detergents ? what kind of fuckery is that ?...Hii nchi bana wenye wanajua vitu wapo bench alafu mambumbumbu wanaendesha game....what type of sorcery is this brother ?.. Kumbuka sensa ina muda mrefu mpaka kuja kufanyika so there is alot of time to prepare...
 
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.

Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.

Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:

1. Namba ya simu
Kila siku wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.

2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.

3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

4. Kitambulisho cha ujasiriamali.
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?

5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".

6. Uzazi na vifo.
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.

Ongezeeni mengineyo.....
Hii sensa imegeuzwa MTAJI WA CCM, tatizo limeanzia hapo.
 
Estimations tu kupitia takwimu za 2012, mfano kama watu 100 walikua na laptop 2002, then 200 hiyo 2012, hapo unaweza bashiri growth rate kwamba 2022 itakua 300..... So ndio data za miaka 10 zinakua estimations tu za base year husika.

Ila baada ya miaka 10 una update taarifa Ili itumike kufanya estimations za mpaka 2030 huko tukisubiri sensa nyingine!

2. TCRA Ina taarifa zake ila katika tafiti unatakiwa kufanya validity kupitia kutafiti kupitia approach mbili tofauti Ili upime kama italeta majibu sawa. Mfano BOT inajua wangapi Wana akaunti ila Ili kuprove wanaweza weka swali kwa sensa kama Una akaunti Ili wapate uhakiki wa data zao!!

So hata kama swali ni marudio ndio validity na reliability yenyewe hiyo kwenye tafiti.
Shenzi zako wewe, kwani hili zoezi ni tafiti?
 
Unaposema data za NIDA teyari zipo NBS..hao NBS watajuaje walio hai na waliokufa kwa usahihi bila kupta takwimu za sensa?

Ikumbukwe ni idadi kubwa ya watu wanaokufa bila kufuata certificate za vifo kutoprocess certificate ya kifo kunaikosesha serikali takwimu sahihi za vifo...

Ukiona familia inafuatilia cheti cha kifo kwa sehemu kubwa huwaga ni kwaajiri ya matumizi ya kisheria kwenye masuala ya mirathi ya Mali za marehemu ila wengi ambao hawanaga shuguli maalumu na hawana mali za kulithiwa huwaga ndugu zao hawasumbuki kufuatilia vyeti vya vifo pale RITA...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmm
 
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.

Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.

Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:

1. Namba ya simu
Kila siku wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.
2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.
3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.
4. Kitambulisho cha ujasiriamali.
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?
5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".
6. Uzazi na vifo.
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.
7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.
Ongezeeni mengineyo.....
Duuh..huku kwetu hawajafika na sioni dalili ...hivi sensa ya miaka kumi iliyopita imetusaidiaje ? Matatizo kwenye jamii hayatatuliwi ipasavyo ,uchaguzi mkuu ukifika ahadi za wabunge ni kutatua changamoto ambazo sensa ilifaa itatue...Zaidi zoezi hili limekaa kisiasa zaidi na ufisadi ndani yake ....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Karani anauliza una kuku wangapi? Daa! Kweli tumechoka. Sasa swali kama hili linasaidia nini? Nalo linapima kiwango cha umaskini?
Hili lina mantiki, kujua idadi ya mifugo anayomiliki mtu.

Ila mambo kama ya namba za simu haya-make sense maana muda huu TCRA wanajua idadi ya namba za simu, ngapi ziko hewani na ngapi haziko hewani.
 
Kila swali lipo coded, so ukisema ndio au hapana Ina tally kule so Yale maswali yote ya poverty index yatakua bundled in one dummy variable kutoa picha ya index au ratio ya umaskini kupitia "umiliki" wa vitu kadhaa.

Survey nyingi sana za kuhoji kuhusu umaskini huwa maswali hayo yapo.
Umejibu vizuri sana kitaalamu.
Tatizo mleta mada na wengine walitarajia maswali yanayofanana na hisia zao.
 
Karani aliniuliza "unajishugulisha na kitu kingine Cha kukuingizia kipato (tofauti na ajira?)"

Kwa nature ya swali jibu Ni ndio au hapana,
Mimi kabla sijamjibu nikamuuliza nikisema ndio utaniuliza kitu gani?

Akasema wewe jibu swali Kama unajishugulisha na kitu kingine?

Nikamjibu Mwezi huu Nina likizo, Selikari inajua niko likizo kwahiyo Niko likizo nimepumzika.

Karani akachoka maana alikuwa alikuwa anataka niseme side biz zangu ili sijui TRA walete pua zao.
 
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.

Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.

Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:

1. Namba ya simu
Kila siku watu wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.

2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.

3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

4. Kitambulisho cha ujasiriamali.
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?

5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".

6. Uzazi na vifo.
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.

Ongezeeni mengineyo.....
Baada ya zoezi hili huwezi kukimbia labda ubadili jina na simu ingawa nyumbani kwako watafika.Utadakwa tu, baada ya zoezi tujae kwenye nyumba za ibada
 
Excellent.
 
Unaposema data za NIDA teyari zipo NBS..hao NBS watajuaje walio hai na waliokufa kwa usahihi bila kupta takwimu za sensa?

Ikumbukwe ni idadi kubwa ya watu wanaokufa bila kufuata certificate za vifo kutoprocess certificate ya kifo kunaikosesha serikali takwimu sahihi za vifo...

Ukiona familia inafuatilia cheti cha kifo kwa sehemu kubwa huwaga ni kwaajiri ya matumizi ya kisheria kwenye masuala ya mirathi ya Mali za marehemu ila wengi ambao hawanaga shuguli maalumu na hawana mali za kulithiwa huwaga ndugu zao hawasumbuki kufuatilia vyeti vya vifo pale RITA...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wakichukua hizo namba za NIDA ndo hao watu hawafi tena ili wakae na hizo data?

Wapo watu waliohesabiwa juzi lakini kifikia leo wameshafariki na taarifa zao hazipo RITA wala sehemu yoyote,je hizo taarifa zao walizozitoa juzi hususan namba za NIDA bado zina umuhimu?
 
Back
Top Bottom