Sensa ya Watu na Makazi: Tuliulizwa kama unafuga ng'ombe, mbuzi, kuku. Lakini kwanini hatukuulizwa kama unafuga Nguruwe na Mbwa?

Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi?

Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani?

Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa kama hatuhitaji kujua hali na kiasi cha ufugaji wa mbwa??
Kweli mkuu
 
Labda waliona maswali hayo yangeweza kusababisha hasira kwa baadhi ya watu ambao wana mtazamo hasi dhidi ya wanyama hao( ni hivyo isingekuwa UNIVERSAL).
 
Back
Top Bottom