Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

Nimejaribu mara nyingi kuiambia nafsi yangu kile nikiwazacho si halisi na si ukweli lakini kila mara imekua ikinisuta na kuniambia niseme ukweli wa moyo wala nisifiche maana ndipo amani itanijia " hakika nimeshindwa kujizuia tena naona leo niweke bayana Salma moyo wangu unakuhitaji na unatamani siku zote uwe karibu yangu na niwe nawe mpaka uzeeni kwangu maana nafsi yangu imetekwa na uzuri wa tabia zako na umbo lako pia hakika wewe ndo yule niliyekuwa nikimsubiri siku nyingi , naamini hakuna aliyekamilika ila kwa asilimia kubwa umeshinda zabuni ya kuumiliki moyo wangu ,nakupenda salma na ntahisi kuumiliki ulimwengu wote endapo utakubali kuungana nami salma ,,,,
Umetisha san mkuu
 
Eti Dada kwani kumpenda mtu ni kosa?
Ananijibu sio kosa. Nikamwambia basi Mimi nakupenda.

Kuna mwingine nikamwambia hivi nikamwambia nakupenda utajisikiaje?
Akanijibu atajisikia furaha.
Nikamwambia bas Mimi nakupenda. Mtoto anacheka Cheka tu.
 
Jameni wanaume Na wanawake tumeumbiwa kupendana!

Andika sentensi kali ya mtongozo ambayo haijawahi kukuangusha!
Mwanaume ambayo mwanamke ngumu kuchomoa!

Wanawake ni sentensi ipi uliwahi kuambiwa Na mwanaume ukanyong'onyea!! Au ukampa maksi za juu!
Nikiwa kijana niliwahi kumwambia msichana (alikuwa mkubwa kwangu) 'Njoo gheto nikutongoze' ...akaja, sikuhitaji kutongoza tena maana kuja kwake ilikuwa ni kukubaliana na tongozo! hatua husika ikachukua nafasi!
 
Mm huwa sijui kutongoza bali nikitaka demu or mwanamke yeyote yule huwa namwangalia tu machoni kwa kumkazia bila kupepesa macho lazima aangalie chino nashika mkono naenda kugegeda
Bila kuongea
 
Mm huwa sijui kutongoza bali nikitaka demu or mwanamke yeyote yule huwa namwangalia tu machoni kwa kumkazia bila kupepesa macho lazima aangalie chino nashika mkono naenda kugegeda
Tamu sanaaa hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu
 
Nimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...

Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
Mistari kama ya Dr Love Pimbi hahhaha
 
You are beautiful girl (one sentence).
May you be mine (another sentence)
 
Unauliza sentensi nzuri za kutongozea kwa ajili ya kukutanisha vifanyio tu au mtongozo wa nia ya kuanzisha mahusiano au mtongozo wa kutafuta mama yeyooo???

Maana malengo tofauti na mtongozo nao huwa tofauti...
One night stand!
 
Mm huwa sijui kutongoza bali nikitaka demu or mwanamke yeyote yule huwa namwangalia tu machoni kwa kumkazia bila kupepesa macho lazima aangalie chino nashika mkono naenda kugegeda

afu ukimaliza unaingia kwenye pochi na kulipa huduma uliyopata.. maana a decent lady wa hivyo ni 1 in a million.
 
nakupenda nataka kuwa mwanaume wako.....siku hizi nimeacha ngonjera
 
Nimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...

Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
Huu Kweli ni mtongonzo kababe
 
Back
Top Bottom