Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

Sili silali nikikuwaza baby..

Nikinywa maji nakuona kwenye glasi..

Hahahah enzi hizoooo...sio enzi hizi...

Enzi hizi maneno kidogo unayaambatanisha na Muamala kidogo Tigo Pesa/M-Pesa/Airtel money
 
Sili silali nikikuwaza baby..

Nikinywa maji nakuona kwenye glasi..

Hahahah enzi hizoooo...sio enzi hizi...

Enzi hizi maneno kidogo unayaambatanisha na Muamala kidogo Tigo Pesa/M-Pesa/Airtel money
We mkali
 
Back
Top Bottom