Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

Dah... Mguu upande.....Legeza mwili...[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Mimi nna tabia ya kujifanya Sijui kutongoza,.
Hua nawaambia ningekua najua kutongoza kwa jinsi unavyoubariki moyo nisingekuacha upite, sema ndio sijui nisemeje maana naogopa nikisema afu ukakataa ntaumia sana, naona bora nibaki nakukodolea tuu macho nisije umia bureee.
Wengi baada ya maneno hayo wanasema "mbona ushasema sasa" nawajibu kumbe ushanielewa? Nikubalie basi atajichekesha hapoo, kinachofuata hapo mnakijua wakuu
 
Yangu simple, watoto huwa hawachomoi haka kamsemo kangu.

"Hufai kuwa mwanamke,,,,,,,,," alafu unyamaza kama dakika moja hivi, ndo unakuja malizia kwa kusema
"Unafaa kuwa mke"

Nyingine hyo,
"Natamani ume mke wangu, hasa kipindi cha baridi uwe unakumbatia nywele zangu za kifuani"


Nyingine hyo,
Hakika Wewe nimeona ni sehemu ya pili ya mwili wangu ila huwezi jua jinsi gani nilikupenda,

Katika mamia nimekuchagua kwa mahaba yangu ya ukweli na wala si ya kuigiza nipatie kila nilicho kifuata kwako sito kuacha mpenzi mtalajiwa,



Ukiona kuna udalili Wa kukubali,
Unamdondoahea hii
" najua baada ya kazi za mda mrefu mwili wako umechoka na kuhitaji mapumziko zaidi, ila kwa vile taifa lako bado linahitaji Huduma zako kama kweli umenipenda naomba ufumbe macho niweke usoni pako, machoni mwako hakika uchovu utatoka na kurudiwa na nguvu , Fanya hvyo Mara moyo wangu nakupenda sana mpenzi mtalajiwa.
 
Huwa nasemaga, "sikuahidi chochote ila kukupenda kama nafsi yangu,, tazama ninavojijari mimi ndivo ntavokujari kwa kadili ya uwezo Wangu bila fake promis then fasta wanagive in wenyewe
 
Nashauri tu baada ya huu Uzi kufika mwisho waje wadada waseme ni mistari IPI iliwavutia kutoka kwa waume zao mpka wakawa chini kidume juu
 
Nashauri tu baada ya huu Uzi kufika mwisho waje wadada waseme ni mistari IPI iliwavutia kutoka kwa waume zao mpka wakawa chini kidume juu
wapo wanapitia tu mistari humu....usishangae mtu akafatwa PM leo maana watu wamefunguka aisee hadi inapendeza,
tatizo wanaume haya tunayasema wakati wa kutongoza baada ya kumpata humwambii tena,
 
Duuh we jamaa shkamooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…