Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

Noted[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Nataka ile kitu inameza mwenzake...
Ile kujichekesha tu mara paaap kitu ndani....
 
Huu uzi murua kabisa Baada yakupitia comments mwanzo mpaka hapa, nimesubscribe for more update
 
Hapa kazi tu, nataka kuanzisha kiwanda na wewe.mi natokea lumumba.
 
Jameni wanaume Na wanawake tumeumbiwa kupendana!

Andika sentensi kali ya mtongozo ambayo haijawahi kukuangusha!
Mwanaume ambayo mwanamke ngumu kuchomoa!

Wanawake ni sentensi ipi uliwahi kuambiwa Na mwanaume ukanyong'onyea!! Au ukampa maksi za juu!
 
Sijakupenda..(apo manzi anataharuki, kisha kdume naendelea kiupolee)..nimekutamani unipende(anatabasaamu, namshika viganja vya mkono namchezea vdole)..ata kama tumeonana siku ya kwanza atujazoeana namvuta kwangu nampa mkubatio matata kisha namnong'oneza "usiishangae dunia maan imenleta kwako"

Cjawai kula mtoso mbele ya hii mbinu, japo na kuhonga nako kunanisaidia [emoji3][emoji3]
 
Umri huu sikumbuki huwa natongoza au huwa inakuwaje
Lakini yote kwa yote huwa naishia kupewa mzigo
Mambo huanza hivi....
"Karibu dada mambo vipi?
Aise kama hujali naomba namba yako ya simu
Akinipa tu basi kaisha!!!
Nakaa kimya kama Simu tatu hivi then siku ya nne napiga simu
Pamoja na salamu za hapa na pale ikiwa ni pamoja na kukitambulisha ama kumkumbusha tulikutana wapi
Basi naishia kumpa usiku mwema
Nikishajua anakoishi jioni moja namshitua hi!!
Mambo vipi nipo maeno ya mtaani kwenu kama haupo mbali tuonane
Akija basi story za kuomba mtoko zinaanza na siku nikitoka nae out lazima nile walau hata mate tu
Baada ya hapo basi mzigo ushakuwa wangu nikupanga tu wapi naenda kupiga
 
Nimejitahidi sana kuuambia na kuuzuia moyo wangu usikupende lkn umenigomea kabisa na leo cku ya saba moyo unaimba tu jina lako asubuhi, mchana na jioni.Hakika naona tayari u sehemu ya moyo wangu si kwa maneno bali matendo ya moyo.Niko tayari kukupokea kwa dhati mama.Pokea huu moyo pse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…