Sentensi ikianza na maneno gani unajua inafuata taarifa mbaya?

"Kaa chini au tafuta sehemu yenye utulivu(kwenye simu), kuna kitu nataka nikwambie"
 
Tumefanya jitihada kwa uwezo wetu wote kumnusuru ila....
 
Nipigiwe simu kwa namba za mtu naemjua afu aongee mtu mwingine aniulize mwenye simu hii ni nani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…