Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kwa mujibu wa Tweeter yake,kaamua kujiuzulu within a short space of time. Habari kamili inakuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapata timu kubwa zaid ya simba. Afanyeje?Mtu makini hawezi vumilia uswahili wa kina Haji, Kaduguda...hata Mwamedi mwenyewe mswahili!
Uswahili mwingi simba, hata makocha walioondoka walilalamikia hili, hawapo professional.Kwa mujibu wa Tweeter yake,kaamua kujiuzulu within a short space of time. Habari kamili inakuja.
Ni kweli kajiuzulu natumaini hajafurahia usajili wa mpanda mipira
Kapata timu kubwa zaid ya simba. Afanyeje?
Senzo asingeweza kusajili mtovu wa nidham wa kiwango kile. Sasa jiulize nani kasaini mkataba uleTaarifa za chini chini kutoka ndani ya klabu ya Simba inasemekana Morriston hakuwepo kwenye mipango ya wachezaji waliokuwa wanatakiwa kusajiwa na Simba kwenye usajili huu.
Morriston amesajiliwa kishabiki na sio ki professional kwa mahitaji ya Simba.
Aussems alishasema kabisa wakati anaondoka, pale Simba kumejaa watu wa hovyoTaarifa za chini chini kutoka ndani ya klabu ya Simba inasemekana Morriston hakuwepo kwenye mipango ya wachezaji waliokuwa wanatakiwa kusajiwa na Simba kwenye usajili huu.
Morriston amesajiliwa kishabiki na sio ki professional kwa mahitaji ya Simba.
Uswahili wa kusajiri ili umkomoe mpinzani umepitwa na wakati kaamua kuwaachia timu yao MikiaKwa mujibu wa Tweeter yake,kaamua kujiuzulu within a short space of time. Habari kamili inakuja.
Heri maneno ya huyu wa simba. Vp yule aliyewaita MANYANI imekaa utamu eeenhAussems alishasema kabisa wakati anaondoka, pale Simba kumejaa watu wa hovyo
Mkuu, bila shaka Senzo ni mtu mwenye weledi. Hawezi kukubali wamsaunishe Morrison wakati suala lake bado lipo TTF hata kama wamepenyezewa taarifa fulani.Kwa mujibu wa Tweeter yake,kaamua kujiuzulu within a short space of time. Habari kamili inakuja.