Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Aondoke tu. Pamoja na cv yake nzuri? kwenye u COE tumeshuhudia Simba ikitolewa round ya kwanza na kufungwa na Manyani. Bora Magori tulifika round of 8 na Manyani hayakuwahi kufurukuta hata x 1.
 
Aliye waita simba mbumbumbu hakukosea, wakati wa uongozi Kaduguda pale Simba wanachama walimchoka wakamtimua, Kaduguda aliamua kuzuia mipira na vifaa vingine vya mazoezi vya timu akishinikiza alipwe pesazake alizo wanunulia wachezaji chapati,yaani alikomaa kwelikweli alipwe.
Chakushangaza leo kaduguda yupo katika uongozi tena katika kamati tendaji alafu watu wa aina ya Kaduguda na jamii ya Haji Manara ndio wanao iendesha Simba unategemea nini?
 
Yaani Leo ndo nimejua kua Watanzania tunajadili sana matukio bila uhalisia.
 
Mshauri mkuu wa Mo unategemea kuna jipya gani?
Screenshot_20200808_161436.jpg
 
Simba itayumba MO Akijitoa wengine wote wanaweza kuondoka na Simba isipate shida yoyote as long as hela ipo.
upo sahihi mkuu hata magor alipotaka kuondoka kwanza alikatatiliwa hivyo.hata huyu tutamuomba abatilishe uamuzi wake kwanza kisha tutamruhusu
 
Aliye waita simba mbumbumbu hakukosea, wakati wa uongozi Kaduguda pale Simba wanachama walimchoka wakamtimua, Kaduguda aliamua kuzuia mipira na vifaa vingine vya mazoezi vya timu akishinikiza alipwe pesazake alizo wanunulia wachezaji chapati,yaani alikomaa kwelikweli alipwe.
Chakushangaza leo kaduguda yupo katika uongozi tena katika kamati tendaji alafu watu wa aina ya Kaduguda na jamii ya Haji Manara ndio wanao iendesha Simba unategemea nini?
Watu waswahili sana,wao furaha yao ni kupeleka msiba Yanga.
 
Akijiizulu moo kidogo nitashtuka!!
Namtakia kila la heri. Sababu ni ceo wa kwanza simba basi watu kama wamepaniki hivi. Ila kuna ma ceo wengi tu wazuri ktk timu! Atapatikana mwingine...
 
Mkuu, bila shaka Senzo ni mtu mwenye weledi. Hawezi kukubali wamsaunishe Morrison wakati suala lake bado lipo TTF hata kama wamepenyezewa taarifa fulani.

Tayari tumeshuhudia tunda la kwanza la uhuni wao kuhusu Morrison. Mengine yanakuja.

Mo ni Mwamedi mwingine tu.
Morrison kaletwa na Magori na Hans Pope aka le mafia!
 
Akijiizulu moo kidogo nitashtuka!!
Namtakia kila la heri. Sababu ni ceo wa kwanza simba basi watu kama wamepaniki hivi. Ila kuna ma ceo wengi tu wazuri ktk timu! Atapatikana mwingine...
Ngoja tu muda utaaongea
1.jpg
2.jpg
 
Back
Top Bottom