Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Aondoke tu. Pamoja na cv yake nzuri? kwenye u COE tumeshuhudia Simba ikitolewa round ya kwanza na kufungwa na Manyani. Bora Magori tulifika round of 8 na Manyani hayakuwahi kufurukuta hata x 1.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbumbumbu wanajifanya wanamabadiliko ila kiuhalisia wapo karne ya 19Uswahili wa kusajiri ili umkomoe mpinzani umepitwa na wakati kaamua kuwaachia timu yao Mikia
mbona unajichekesha bro,vipi kwaniMbumbumbu fcView attachment 1532194
Twende kwenye jukwaa la siasa mtanimbona unajichekesha bro,vipi kwani
upo sahihi mkuu hata magor alipotaka kuondoka kwanza alikatatiliwa hivyo.hata huyu tutamuomba abatilishe uamuzi wake kwanza kisha tutamruhusuSimba itayumba MO Akijitoa wengine wote wanaweza kuondoka na Simba isipate shida yoyote as long as hela ipo.
Watu waswahili sana,wao furaha yao ni kupeleka msiba Yanga.Aliye waita simba mbumbumbu hakukosea, wakati wa uongozi Kaduguda pale Simba wanachama walimchoka wakamtimua, Kaduguda aliamua kuzuia mipira na vifaa vingine vya mazoezi vya timu akishinikiza alipwe pesazake alizo wanunulia wachezaji chapati,yaani alikomaa kwelikweli alipwe.
Chakushangaza leo kaduguda yupo katika uongozi tena katika kamati tendaji alafu watu wa aina ya Kaduguda na jamii ya Haji Manara ndio wanao iendesha Simba unategemea nini?
HahaaaaMshauri mwandamizi bwana Paul Makonda kasemaje?
Sawa ni vizuri kuheshimu maamuzi yake,mtu msomi kufanya kazi katika vilabu vyetu hivi vya kariakoo ni ngumu sana.
Walimuita Morrison ni Jambazi, Mwizi, mtovu wa Nidhamu, ila leo wanakenua meno yote Nje, kweli Mbumbumbu FC ya RageWatu waswahili sana,wao furaha yao ni kupeleka msiba Yanga.
Hahaa ndo vituko vya Muddy hivyo na mtekaji wakeHahaaaa
Nimecheka, eti Senior Adviser wa Simba
Na huu ndio uswahili wenyewe! Senzo ni mtu na nusu yule....Aondoke tu. Pamoja na cv yake nzuri? kwenye u COE tumeshuhudia Simba ikitolewa round ya kwanza na kufungwa na Manyani. Bora Magori tulifika round of 8 na Manyani hayakuwahi kufurukuta hata x 1.
Wakati simba inatolewa ceo alikuwa MagoriAondoke tu. Pamoja na cv yake nzuri? kwenye u COE tumeshuhudia Simba ikitolewa round ya kwanza na kufungwa na Manyani. Bora Magori tulifika round of 8 na Manyani hayakuwahi kufurukuta hata x 1.
Morrison kaletwa na Magori na Hans Pope aka le mafia!Mkuu, bila shaka Senzo ni mtu mwenye weledi. Hawezi kukubali wamsaunishe Morrison wakati suala lake bado lipo TTF hata kama wamepenyezewa taarifa fulani.
Tayari tumeshuhudia tunda la kwanza la uhuni wao kuhusu Morrison. Mengine yanakuja.
Mo ni Mwamedi mwingine tu.
Ndiye aliyemleta morrison.Ohooooo.Magori anarudi tena ?Naona ni kama Magori alikuwa CEO tu.
Ngoja tu muda utaaongeaAkijiizulu moo kidogo nitashtuka!!
Namtakia kila la heri. Sababu ni ceo wa kwanza simba basi watu kama wamepaniki hivi. Ila kuna ma ceo wengi tu wazuri ktk timu! Atapatikana mwingine...