Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Haya saasaMshauri mkuu wa Mo unategemea kuna jipya gani?
View attachment 1532198
Na huu ndio uswahili wenyewe! Senzo ni mtu na nusu yule....
Kwan Mwamedi kafanyaje katika hili?tatizo lililopo Simba ni huyu Mwamedi pamoja na hela na elimu ila ni tikiti maji tuu ndiyo anaharibu timu huku anajenga.
Yeye atoe hela tuu aache wengine wafanye kazi yao.
Ndiyo maana Senzo kaona isiwe shida. Na Magori anaitaka hiyo nafasi.Morrison kaletwa na Magori na Hans Pope aka le mafia!
Anawasikiliza na kuwaendekeza Waswahili wakina Manara.Kwan Mwamedi kafanyaje katika hili?
Hii ya muda gani Mkuu?
Hahahaha tulia dawa ikuingieFake
Kaduguda na chapati kudadekiAliye waita simba mbumbumbu hakukosea, wakati wa uongozi Kaduguda pale Simba wanachama walimchoka wakamtimua, Kaduguda aliamua kuzuia mipira na vifaa vingine vya mazoezi vya timu akishinikiza alipwe pesazake alizo wanunulia wachezaji chapati,yaani alikomaa kwelikweli alipwe.
Chakushangaza leo kaduguda yupo katika uongozi tena katika kamati tendaji alafu watu wa aina ya Kaduguda na jamii ya Haji Manara ndio wanao iendesha Simba unategemea nini?
Nilivyomuona Manara anashikana-shikana na Morrison wakati bado kesi inarindima nikasema Yes this is simba sasa.Sasa hii ndo Simba ninayoijua mimi, Simba ya migogoro.
Official,Senzo kasaini Yanga mida hii.Usajili wa Morrisoni ni wa kijinga na usio na ulazima wowote...inaonyesha hii timu inaongozwa na akili za Haji Manara.
Kashasaini Yanga mida hiiAzam kama wapo serious na mpira wange chukua hili jembe liwapigie kazi
Manara amewachoresha Simba aiseeš¤£Usajili wa Morrisoni ni wa kijinga na usio na ulazima wowote...inaonyesha hii timu inaongozwa na akili za Haji Manara.
Leo hiyo liveHii ya muda gani Mkuu?