Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Mshauri mkuu wa Mo unategemea kuna jipya gani?
View attachment 1532198
Haya saasa
2.jpg
 
tatizo lililopo Simba ni huyu Mwamedi pamoja na hela na elimu ila ni tikiti maji tuu ndiyo anaharibu timu huku anajenga.
Yeye atoe hela tuu aache wengine wafanye kazi yao.
Kwan Mwamedi kafanyaje katika hili?
 
Aliye waita simba mbumbumbu hakukosea, wakati wa uongozi Kaduguda pale Simba wanachama walimchoka wakamtimua, Kaduguda aliamua kuzuia mipira na vifaa vingine vya mazoezi vya timu akishinikiza alipwe pesazake alizo wanunulia wachezaji chapati,yaani alikomaa kwelikweli alipwe.
Chakushangaza leo kaduguda yupo katika uongozi tena katika kamati tendaji alafu watu wa aina ya Kaduguda na jamii ya Haji Manara ndio wanao iendesha Simba unategemea nini?
Kaduguda na chapati kudadeki
 
Sasa hii ndo Simba ninayoijua mimi, Simba ya migogoro.
Nilivyomuona Manara anashikana-shikana na Morrison wakati bado kesi inarindima nikasema Yes this is simba sasa.

Yani ile simba ya juzi-juzi ya kujifanya ni professional team ilikua ni maigizo tu sasa wamerudi kwenye originality yake kabisa Simba ya misuguano ambayo soon itasababisha kocha ataondoka/ataondoshwa
 
Back
Top Bottom