Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
- Thread starter
-
- #81
Tayari nishathibitisha Mkuu,bado kesho....Leo hiyo live
Serious?Kashasaini Yanga mida hii
[emoji3][emoji3]Wamebadilishana Morrison na Senzo acha tuone nani kampiga KO mwenzakeOfficial,Senzo kasaini Yanga mida hii.
Hahahahahahahahah Anakuwa ni kocha au nani??Deal done Senzo ni mwananchiView attachment 1532291
Timu ya wananchi kweli imekomaa maana msikisiko wote ila ilobaki tulivu mpaka sasaNi wazi Simba SC kuna fukuto
Hapa alikuwa anatoa somo ambalo yeye Muddy kafeli kulifuataAnawasikiliza na kuwaendekeza Waswahili wakina Manara.
Uchebe alisema hivi nanukuu;Usajili wa Morrisoni ni wa kijinga na usio na ulazima wowote...inaonyesha hii timu inaongozwa na akili za Haji Manara.
Hata akifagia poa tu, sie tunataka maujuzi yakeHahahahahahahahah Anakuwa ni kocha au nani??
Kwa sababu cheo cha CEO Yanga hakipo.
Kweli bongonyosoView attachment 1532310
Jiandae kwa pigo lingine la FEI TOTO next week.Hata akifagia poa tu, sie tunataka maujuzi yake
Hujawahi kuniangusha, nimesema maneno haya mchana. Nimeanzisha thread hapa mchana baadhi ya watu wakapinga maoni yangu. Lakini nasema tena hujawahi kuniangusha maana uliyosema ndo niliyosema mchana.Alitaka Simba SC 'wasiharakishe' Kwanza 'Kumtangaza' Bernard Morrison ile Jana mpaka 'Shauri' lake litakapotolewa Tamko rasmi Kesho na TFF ila kama kawaida yetu 'Waswahili' na 'Upuuzi' uliopo katika Timu hizi mbili Watu wakawa na 'Viherere' ambavyo 'Kisheria' vinaenda 'Kuigharimu' Klabu ya Simba na Yeye ( Senzo Mbatha ) ni 'Mweledi' mno hivyo hataki 'Kuchafuka' na 'CV' yake 'Kuharibiwa' na Waswahili wa Kitanzania.
Hata hivyo hili la Bernard Morrison ni Tisa ila Kumi na ambalo nina uhakika nalo kutoka katika Chanzo changu 'ninachokiamini' ndani ya Timu ni kwamba kuna 'Zengwe' la baadhi ya Viongozi 'Wapigaji' wa Simba SC wanataka Kocha Mkuu Sven Vandebroek 'atimuliwe' ili aje Kocha watamkae Wao kisha kama kawaida waendelee 'Kupiga' ile 10% yao lakini CEO 'aliyejiuzuru' Senzo Mbatha 'amewakatalia' kwa kusema Kocha hana tatizo.
Kujiuzuu kwa CEO huyu Senzo Mbatha ambaye CV yake 'inatisha' hasa 'Kiutendaji' ni 'Pigo' kubwa kwa Simba SC na inaweza 'Kuiyumbisha' Klabu.
Mo hapendagi ujinga! Huu ndio uzuri wa kuwa na kiongozi ambaye nae ni shabiki wa simba.Haya saasaView attachment 1532246
nilikuwa namuona kichwa huyu jamaa kumbe naye njaa kali tuSenzo kumbe hovyo tu. nilidhani ni jembe makini fulani, unamkimbia morrison na kuamua kwenda kuuza ramani ya vita kwa adui?
What a snitch..
Hapo kwenye kumtangaza morisoni hata mm pameniuzi, kwani wangesubiri mpk hukumu ikatoka ingezuia nn. Waswahili koo huwa linatuwasha sana hasahasa tukiwa na jambo la kuweka sirini.Alitaka Simba SC 'wasiharakishe' Kwanza 'Kumtangaza' Bernard Morrison ile Jana mpaka 'Shauri' lake litakapotolewa Tamko rasmi Kesho na TFF ila kama kawaida yetu 'Waswahili' na 'Upuuzi' uliopo katika Timu hizi mbili Watu wakawa na 'Viherere' ambavyo 'Kisheria' vinaenda 'Kuigharimu' Klabu ya Simba na Yeye ( Senzo Mbatha ) ni 'Mweledi' mno hivyo hataki 'Kuchafuka' na 'CV' yake 'Kuharibiwa' na Waswahili wa Kitanzania.
Hata hivyo hili la Bernard Morrison ni Tisa ila Kumi na ambalo nina uhakika nalo kutoka katika Chanzo changu 'ninachokiamini' ndani ya Timu ni kwamba kuna 'Zengwe' la baadhi ya Viongozi 'Wapigaji' wa Simba SC wanataka Kocha Mkuu Sven Vandebroek 'atimuliwe' ili aje Kocha watamkae Wao kisha kama kawaida waendelee 'Kupiga' ile 10% yao lakini CEO 'aliyejiuzuru' Senzo Mbatha 'amewakatalia' kwa kusema Kocha hana tatizo.
Kujiuzuu kwa CEO huyu Senzo Mbatha ambaye CV yake 'inatisha' hasa 'Kiutendaji' ni 'Pigo' kubwa kwa Simba SC na inaweza 'Kuiyumbisha' Klabu.
Ndo kukosa weledi huko, uswahili na ujuwaji mwingiiHapo kwenye kumtangaza morisoni hata mm pameniuzi, kwani wangesubiri mpk hukumu ikatoka ingezuia nn. Waswahili koo huwa linatuwasha sana hasahasa tukiwa na jambo la kuweka sirini.