Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Deal done Senzo ni mwananchi
IMG_20200809_182134_355.JPG
 
Alitaka Simba SC 'wasiharakishe' Kwanza 'Kumtangaza' Bernard Morrison ile Jana mpaka 'Shauri' lake litakapotolewa Tamko rasmi Kesho na TFF ila kama kawaida yetu 'Waswahili' na 'Upuuzi' uliopo katika Timu hizi mbili Watu wakawa na 'Viherere' ambavyo 'Kisheria' vinaenda 'Kuigharimu' Klabu ya Simba na Yeye ( Senzo Mbatha ) ni 'Mweledi' mno hivyo hataki 'Kuchafuka' na 'CV' yake 'Kuharibiwa' na Waswahili wa Kitanzania.

Hata hivyo hili la Bernard Morrison ni Tisa ila Kumi na ambalo nina uhakika nalo kutoka katika Chanzo changu 'ninachokiamini' ndani ya Timu ni kwamba kuna 'Zengwe' la baadhi ya Viongozi 'Wapigaji' wa Simba SC wanataka Kocha Mkuu Sven Vandebroek 'atimuliwe' ili aje Kocha watamkae Wao kisha kama kawaida waendelee 'Kupiga' ile 10% yao lakini CEO 'aliyejiuzuru' Senzo Mbatha 'amewakatalia' kwa kusema Kocha hana tatizo.

Kujiuzuu kwa CEO huyu Senzo Mbatha ambaye CV yake 'inatisha' hasa 'Kiutendaji' ni 'Pigo' kubwa kwa Simba SC na inaweza 'Kuiyumbisha' Klabu.
Hujawahi kuniangusha, nimesema maneno haya mchana. Nimeanzisha thread hapa mchana baadhi ya watu wakapinga maoni yangu. Lakini nasema tena hujawahi kuniangusha maana uliyosema ndo niliyosema mchana.
1.Unaanzaje kuoa mke wa mtu mwenye kesi ya talaka mahakamani?
2.Hata kama mchezaji anawataka nyie kwa nini msimsajili kimya kimya hadi hapo suala lake na mabosi wake wa zamani litakapokwisha?
 
Senzo kumbe hovyo tu. nilidhani ni jembe makini fulani, unamkimbia morrison na kuamua kwenda kuuza ramani ya vita kwa adui?
What a snitch..
 
  • Thanks
Reactions: mmh
....Wengine wanatafuta ushindi,wengine wanatafuta umaarufu na wengine wanatafuta faida...

Kila mmoja anaplay part yake..
 
Alitaka Simba SC 'wasiharakishe' Kwanza 'Kumtangaza' Bernard Morrison ile Jana mpaka 'Shauri' lake litakapotolewa Tamko rasmi Kesho na TFF ila kama kawaida yetu 'Waswahili' na 'Upuuzi' uliopo katika Timu hizi mbili Watu wakawa na 'Viherere' ambavyo 'Kisheria' vinaenda 'Kuigharimu' Klabu ya Simba na Yeye ( Senzo Mbatha ) ni 'Mweledi' mno hivyo hataki 'Kuchafuka' na 'CV' yake 'Kuharibiwa' na Waswahili wa Kitanzania.

Hata hivyo hili la Bernard Morrison ni Tisa ila Kumi na ambalo nina uhakika nalo kutoka katika Chanzo changu 'ninachokiamini' ndani ya Timu ni kwamba kuna 'Zengwe' la baadhi ya Viongozi 'Wapigaji' wa Simba SC wanataka Kocha Mkuu Sven Vandebroek 'atimuliwe' ili aje Kocha watamkae Wao kisha kama kawaida waendelee 'Kupiga' ile 10% yao lakini CEO 'aliyejiuzuru' Senzo Mbatha 'amewakatalia' kwa kusema Kocha hana tatizo.

Kujiuzuu kwa CEO huyu Senzo Mbatha ambaye CV yake 'inatisha' hasa 'Kiutendaji' ni 'Pigo' kubwa kwa Simba SC na inaweza 'Kuiyumbisha' Klabu.
Hapo kwenye kumtangaza morisoni hata mm pameniuzi, kwani wangesubiri mpk hukumu ikatoka ingezuia nn. Waswahili koo huwa linatuwasha sana hasahasa tukiwa na jambo la kuweka sirini.
 
Ndo kukosa weledi huko, uswahili na ujuwaji mwingii
 
Back
Top Bottom