Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Kuna ushahidi kuwa alishapigiwa simu ya kushawishiwa na pia alipokea rushwa kutoka timu kubwa obviously ni Simba, subirini barua itakayokwenda TAKUKURU itafunua mambo zaidi.
 
hapa kosa ni la yanga.
Walimpa mkataba wa muda gani?.
Kama walimpa mkataba wa miezi 6 na umeisha ina maana mchezaji yupo huru kuongea na timu yoyote.wao wanakasirika nini?.
Walipotaka kuongeza mkataba huo wanaosema wa miaka 2.mchezaji akagoma..
Kuna ushahidi kuwa alishapigiwa simu ya kushawishiwa na pia alipokea rushwa kutoka timu kubwa obviously ni Simba, subirini barua itakayokwenda TAKUKURU itafunua mambo zaidi.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Ndio simba itoe rushwa?

Ndio Morison apokee rushwa?
 
Sasa rushwa ipo wapi wakati mchezaji yupo huru?.
Yanga walimsajili kwa miezi 6 tuuu..
Ndo maana nasema kama yanga wanao mkataba wa miaka 2 waliomsainisha morrison WAUTOE watu waone.
Ndio simba itoe rushwa?

Ndio Morison apokee rushwa?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kuna ushahidi kuwa alishapigiwa simu ya kushawishiwa na pia alipokea rushwa kutoka timu kubwa obviously ni Simba, subirini barua itakayokwenda TAKUKURU itafunua mambo zaidi.
Mchezaji ukiwa ubebakiza miezi sita inaruhusiwa kuongea na timu nyingine bila kuomba kibali kwa mwajiri wako, ila hairuhusiwi kusaini mkataba.
Ko kitendo cha Simba kuongea na Morison haikua kesi. Kesi itakuja ka Leo TFF watathibitisha kua Morison anamkataba na Yanga wa miaka miwili
 
Mimi ni shabiki wa Simba tangu 1978. Sio shabiki boya kama wewe.
Umeisaidia nini simba toka hiyo 1978 kiasi cha kumuita Mo hana akili?
We urithi wake unakuuma nini, kwani umekatazwa kurithi kwa baba ako na wewe?
Aliyekuzidi kakuzidi tu.
 
Umeisaidia nini simba toka hiyo 1978 kiasi cha kumuita Mo hana akili?
We urithi wake unakuuma nini, kwani umekatazwa kurithi kwa baba ako na wewe?
Aliyekuzidi kakuzidi tu.
Sibishani na washabiki uchwara. Hata Mwamedi akifa leo Simba itabaki. Mwamedi inaihitaji Simba zaidi ya Simba inavyomuhitaji Mwamedi.
 
Ahsante mkuu, nadhani umejipambanua chuki zako binafsi na wewe ni mtu wa aina gani.
Ni kweli nina chuki. Nina chuki na mtu yeyote aliyewaza, kutamka, kumwambia, kumsainisha na kumtaka Bernard Morrison kuchezea Simba. Hata ninyi mnaomshabikia nina chuki KALI dhidi yenu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…