Sasa kosa la simba lipo wapi?.
Yanga walimpa mchezaji mkataba wa miezi 6.
Walipoona mchezaji anafanya vizuri wakataka kumuongezea mkataba wa miaka 2.
Mchezaji akagoma akawaambia tayari nina OFA NA TIMU NYINGINE SIWEZI KUONGEZA MKATABA.
kosa la simba lipo wapi?.
Mchezaji anasema yeye yupo huru sababu alipewa mkataba wa miezi 6 na imeisha KWA HYO YUPO HURU KUSAJILIWA.
kesi ya yanga na Morrison inawahusu nini SIMBA?.
WAKATI MCHEZAJI MWENYEWE ANASEMA ANA MKATABA WA MIEZI 6.
Sent from my SM-G928F using
JamiiForums mobile app