Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Alitaka Simba SC 'wasiharakishe' Kwanza 'Kumtangaza' Bernard Morrison ile Jana mpaka 'Shauri' lake litakapotolewa Tamko rasmi Kesho na TFF ila kama kawaida yetu 'Waswahili' na 'Upuuzi' uliopo katika Timu hizi mbili Watu wakawa na 'Viherere' ambavyo 'Kisheria' vinaenda 'Kuigharimu' Klabu ya Simba na Yeye ( Senzo Mbatha ) ni 'Mweledi' mno hivyo hataki 'Kuchafuka' na 'CV' yake 'Kuharibiwa' na Waswahili wa Kitanzania.

Hata hivyo hili la Bernard Morrison ni Tisa ila Kumi na ambalo nina uhakika nalo kutoka katika Chanzo changu 'ninachokiamini' ndani ya Timu ni kwamba kuna 'Zengwe' la baadhi ya Viongozi 'Wapigaji' wa Simba SC wanataka Kocha Mkuu Sven Vandebroek 'atimuliwe' ili aje Kocha watamkae Wao kisha kama kawaida waendelee 'Kupiga' ile 10% yao lakini CEO 'aliyejiuzuru' Senzo Mbatha 'amewakatalia' kwa kusema Kocha hana tatizo.

Kujiuzuu kwa CEO huyu Senzo Mbatha ambaye CV yake 'inatisha' hasa 'Kiutendaji' ni 'Pigo' kubwa kwa Simba SC na inaweza 'Kuiyumbisha' Klabu.
Mwamedi alishindwa kuiendesha timu yake Mbagala Market ni suala la muda tu
 
za chini ya kapeti ni kuwa............Senzo anahamia upande wa pili[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
Taarifa za chini chini kutoka ndani ya klabu ya Simba inasemekana Morriston hakuwepo kwenye mipango ya wachezaji waliokuwa wanatakiwa kusajiwa na Simba kwenye usajili huu.
Morriston amesajiliwa kishabiki na sio ki professional kwa mahitaji ya Simba.
Kina uneducated Haji kutaka kuikomoa Yanga.
 
Simba itayumba MO Akijitoa wengine wote wanaweza kuondoka na Simba isipate shida yoyote as long as hela ipo.
 
Jamaa kaikimbia aibu kutoka kwa mambumbubu hahaha
Mo.jpg
 
Back
Top Bottom