Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Senzo ajiuzulu ndani ya Simba

Mohamed Dewj sijui anakwama Wapi,Shule yote ile na fwedha ...bado analeta/Lea uswahili...hivi usajili wa Morrison Ni wanini!
Eti nasikia na Tdhishimbi!
Kushabikia Simba na Yanga inataka Moyo!
Tena moyo wa chuma mkuu
 
Mwamedi ndiyo BOYA NAMBA MOJA SIMBA! Unamsajilije mchezaji kama Morrison? Hata utajiri alionao ni kwasababu aliurithi tu. Hana akili ya kufanya jambo lolote la mafanikio huyu!
We mwenye akili uko wapi?
Morrison anauma eee?
Kunywa maji utulie mkuu, pole sana.
 
Mkuu, bila shaka Senzo ni mtu mwenye weledi. Hawezi kukubali wamsaunishe Morrison wakati suala lake bado lipo TTF hata kama wamepenyezewa taarifa fulani.

Tayari tumeshuhudia tunda la kwanza la uhuni wao kuhusu Morrison. Mengine yanakuja.

Mo ni Mwamedi mwingine tu.
Ameenda Yanga ambapo walidanganya kuwa wana mkataba na Tshishimbi.

Huyo Senzo kafuata ahadi za pesa ambapo sakata hili likiisha ataanza kukopwa mishahara.
 
Kufanya kazi Tanzania ni lazima uwe sehemu ya Unafiki, Majungu na Fitina sasa watu kama Senzo ni watu smart hawataki uhuni na ,ujanja ujanja hawezi kuvumilia ushenzi.
Anaenda kwa waarabu wajanja wajanja wauza magodoro.
 
Sasa kosa la simba lipo wapi?.
Yanga walimpa mchezaji mkataba wa miezi 6.
Walipoona mchezaji anafanya vizuri wakataka kumuongezea mkataba wa miaka 2.
Mchezaji akagoma akawaambia tayari nina OFA NA TIMU NYINGINE SIWEZI KUONGEZA MKATABA.
kosa la simba lipo wapi?.
Mchezaji anasema yeye yupo huru sababu alipewa mkataba wa miezi 6 na imeisha KWA HYO YUPO HURU KUSAJILIWA.
kesi ya yanga na Morrison inawahusu nini SIMBA?.
WAKATI MCHEZAJI MWENYEWE ANASEMA ANA MKATABA WA MIEZI 6.
Simba ina Waswahili wa hovyohovyo sana

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom