mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,084
Umemaliza kabisa senzo ni hovyo kabisaSenzo kumbe hovyo tu. nilidhani ni jembe makini fulani, unamkimbia morrison na kuamua kwenda kuuza ramani ya vita kwa adui?
What a snitch..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kabisa senzo ni hovyo kabisaSenzo kumbe hovyo tu. nilidhani ni jembe makini fulani, unamkimbia morrison na kuamua kwenda kuuza ramani ya vita kwa adui?
What a snitch..
Mshauri mwandamizi bwana Paul Makonda kasemaje?
Tena moyo wa chuma mkuuMohamed Dewj sijui anakwama Wapi,Shule yote ile na fwedha ...bado analeta/Lea uswahili...hivi usajili wa Morrison Ni wanini!
Eti nasikia na Tdhishimbi!
Kushabikia Simba na Yanga inataka Moyo!
Mwamedi ndiyo BOYA NAMBA MOJA SIMBA! Unamsajilije mchezaji kama Morrison? Hata utajiri alionao ni kwasababu aliurithi tu. Hana akili ya kufanya jambo lolote la mafanikio huyu!Mtu makini hawezi vumilia uswahili wa kina Haji, Kaduguda...hata Mwamedi mwenyewe mswahili!
Anaitwa Mo sio mwamedi kumbuka huyu ana pesa.Mwamedi ndiyo BOYA NAMBA MOJA SIMBA! Unamsajilije mchezaji kama Morrison? Hata utajiri alionao ni kwasababu aliurithi tu. Hana akili ya kufanya jambo lolote la mafanikio huyu!
Ana bahati hizo pesa amezikuta. Na kwa taarifa ya Forbes utajiri wake umepungua kwa zaidi ya USD 200m. Na kwenye mpira, uwezo wake na akili yake haitofautiani na ya Mzee Akilimali "Abramovich"!Anaitwa Mo sio mwamedi kumbuka huyu ana pesa.
We mwenye akili uko wapi?Mwamedi ndiyo BOYA NAMBA MOJA SIMBA! Unamsajilije mchezaji kama Morrison? Hata utajiri alionao ni kwasababu aliurithi tu. Hana akili ya kufanya jambo lolote la mafanikio huyu!
Ameenda Yanga ambapo walidanganya kuwa wana mkataba na Tshishimbi.Mkuu, bila shaka Senzo ni mtu mwenye weledi. Hawezi kukubali wamsaunishe Morrison wakati suala lake bado lipo TTF hata kama wamepenyezewa taarifa fulani.
Tayari tumeshuhudia tunda la kwanza la uhuni wao kuhusu Morrison. Mengine yanakuja.
Mo ni Mwamedi mwingine tu.
Anaenda kwa waarabu wajanja wajanja wauza magodoro.Kufanya kazi Tanzania ni lazima uwe sehemu ya Unafiki, Majungu na Fitina sasa watu kama Senzo ni watu smart hawataki uhuni na ,ujanja ujanja hawezi kuvumilia ushenzi.
Kule Yanga kuna uhuni zaidi, na kuna timu mbili GSM na Yanga asiliAmechoka uswahili wa kina Mwamedi na Lunatic Hajji
Atakuwa kocha na atawasaidia kwenye usajili.Hahahahahahahahah Anakuwa ni kocha au nani??
Kwa sababu cheo cha CEO Yanga hakipo.
Uchebe yupi yule aliyekuwa anaifungua timu ugenini ili tupigwe 5Uchebe alisema hivi nanukuu;View attachment 1532328
Poa tu,saizi tunaflash ya mikataba ya wachezaji wote wa SimbaKule Yanga kuna uhuni zaidi, na kuna timu mbili GSM na Yanga asili
Poa tu,saizi tunaflash ya mikataba ya wachezaji wote wa Simba
Ndiyo,laptop tunayo ya CEO 😂😂Au siyo
Ngoja nikutoe tongo tongo. Senzo kaona Mikia hakuna mabadiliko yoyote. Mo ni mfadhili aliyechangamka.Kule Yanga kuna uhuni zaidi, na kuna timu mbili GSM na Yanga asili
Mimi ni shabiki wa Simba tangu 1978. Sio shabiki boya kama wewe.We mwenye akili uko wapi?
Morrison anauma eee?
Kunywa maji utulie mkuu, pole sana.
Simba ina Waswahili wa hovyohovyo sana