Mara nyingi mke ulivyompata ndivyo atakavyoondoka kwako pia. Kama ulimpatia baa ataondokea baa pia, Kama ulimpatia kwenye kwaya ataondokea kwenye kwaya pia kama ataendelea na kwaya.Kama kweli yuko professional kama tunavyoambiwa hakuna wasiwasi.
Ila kama ameshindwa kufanya kazi na Simba, Yanga nao hatawezana nao.
Hizi timu ni dugu moja, swahili sana.
Mara nyingi mke ulivyompata ndivyo atakavyoondoka kwako pia. Kama ulimpatia baa ataondokea baa pia, Kama ulimpatia kwenye kwaya ataondokea kwenye kwaya pia Kama ataendelea na kwaya...
Na mimi naomba niulize. Je, Senzo kama angeamua kutoa siri za Simba akiwa huko huko Simba kama CEO, nini kingemzuia? Kwa lugha nyepesi, je, ili Senzo atoe siri za Simba, ni lazima ahame? Kwa hiyo mimi sioni tofauti ya hatari iwapo Senzo awepo au alazimike kwanza kuhama Simba, ni uamuzi wake tu atoe au asitoe siriSenzo ana Mambo yote ya club ya Simba mabaya na mazuri kifuani mwake, ambayo Sasa Ni rasmi yanaweza kufika mikoni mwa mwajiri wake mpya. Wasiwasi yangu Ni Yale mabaya (Kama yapo) yaliyofanya thimba ibebe
Duniani koteSenzo kama Senzo hana uwezo wa kuizuia Simba bali anaweza kuiendeleza Yanga.
Senzo siyo solution ya Yanga kufika ilipo Simba msimu huu. It's a process. Kumbuka Simba ilishaanza kufanikiwa before Zenzo.
Anyways mchawi mkubwa kwenye soka ni pesa tu hususan bongo.
Watakujibu, lakini wanaume vibamia Siri zao zinatoka baada ya taraka kutokaNa mimi naomba niulize. Je, Senzo kama angeamua kutoa siri za Simba akiwa huko huko Simba kama CEO, nini kingemzuia? Kwa lugha nyepesi, je, ili Senzo atoe siri za Simba, ni lazima ahame? Kwa hiyo mimi sioni tofauti ya hatari iwapo Senzo awepo au alazimike kwanza kuhama Simba, ni uamuzi wake tu atoe au asitoe siri
Kulikuwa na wimbi la timu kususia kuingia vyumba vya kubadilishia nguo, unalifahamu hili?Kwani kuendesha club proffesinal Kuna Siri yoyote? Kikubwa NI pesa ya kutekeleza mpango kazi wa timu. Uendeshaji wa club proffesinal kila kitu kunakuwa wazi kuanzia mipango ya usahiri, mishahara na hata malengo ya msimu wa timu. Hawa watendaji Kama senzo ni wasimamizi na washauri tu wa mipango ya club...
Kinachoiuma thimba sio kingine Ila kwenda Yanga. Hii Ni sawa na timu kudhaminiwa na Tigo kwenye ligi inayodhaminiwa na Vodacom. Hata kinachoiuma Yanga Ni Morrison kwenda Simba, angeenda Mtibwa isingekuwa issue kubwaYule Amekuja Kufanya Kazi
Kinachotafutwa Ni Pesa Tu, Hata Thobias Kifaru Wa Mtibwa Akipanda Dau Anakwenda
Nikumbushe hivi Senzo anacheza namba ngapi?Kwa vyovyote vile Morrison ni mchezaji tu wa timu asiye na nidhamu na kazi yake, lakini Senzo ni taasisi....
Mambo ya uswazi unaleta JF, na jeshi la polisi walisemaje baada ya uchunguzi.Kulikuwa na wimbi la timu kususia kuingia vyumba vya kubadilishia nguo, unalifahamu hili?