magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Senzo nae sio professional haiwezekani abwage manyanga kabla hata masaa 24 hajakabidhi ofisi anaonekana mtaa wa pili anasaini yanga...nae kaingia kwenye siasa za usimba na uyangaKwa vyovyote vile Morrison ni mchezaji tu wa timu asiye na nidhamu na kazi yake, lakini Senzo ni taasisi.
Senzo ana Mambo yote ya club ya Simba mabaya na mazuri kifuani mwake, ambayo sasa ni rasmi yanaweza kufika mikoni mwa mwajiri wake mpya.
Wasiwasi yangu ni Yale mabaya (Kama yapo) yaliyofanya thimba ibebe vikombe vyote