Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Kuna ka ukweli mkuu maana huyo mtu ni professional wa mambo ya utawala kwenye football industry
Mmawia Leo unafuraha kweli, ivi unajua CHADEMA wametoa majina ya wagombea ???! Ha ha ha ha ha hA
 
Simba ni kubwa kuliko Senzo aende tu, aliikuta Simba na mafanikioa na ameiacha na mafanikio.
 
Senzo alikuwa na huo mpango mda mrefu tu.....
Mtu kajiuzuru Leo na Leo Leo kashapata kazi mpya?
Kama ni hivyo basi Pamoja na uweledi wake anatamaa ya pesa....
 
Inawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?

Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!
umetoa wapi mamlaka ya kumpangia maisha
 
Yanga wanaanza kuingia kwenye mabadiliko rasmi kuanzia 31.8.2020. Ndiyo phase ya kwanza inaanza hivyo Yanga siyo wajinga au huyo CEO siyo mbumbumbu kukubali kutoka kwenye neema akenda jehanamu
Na yeye ndo atakamilisha phases zilizobaki, so ni advantage na CV nyingine kwake
 
Akuanzae mmalizie kabisa, kuna tetesi muda huu Instagram kuwa na Chama anamfuata CEO muda mfupi ujao
Nasikia mnakopa wachezaji, mchukueni tu Chama, ila itabidi mumchukue na Mkude, Fraga, Kahata na Boko maana ndio waliokuwa wanamg'arisha.
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Simba SC ila sielewi kwanini bado tunaendekeza utani wa jadi hadi kwenye maswala ya msingi kama haya

Sijaona umuhimu wa kuwahi kumuonesha B Morrison wakati bado kuna mgogoro unaosubiri maamuzi ya TFF
Mkuu hakuna mpira Tanzania subiri siku utakapoambiwa Mo aitema Simba.
 
Professional CEO angejiuzulu na kueleza sababu, sio kukimbilia sebuleni kwa mtu kusaini mikataba ya klabu ya Yanga.
 
Fresh tu Simba Ni zaidi ya Mtu

#SimbaNguvuMoja#
Hv vikauliza vitaturudisha na kutudumaza milele. Acheni tu huko ulaya waendelee jmn, tunavikauli vya kijinga sana. Kwann tusijiulize kunatatizo gani mpk C.e.o aamue kujiuzulu? Hz klabu za Simba na yanga majanga tu ndio maana hata kigwambina kilichopanda daraja tayari kinauwanja lakini hawa wazee wenye mvi hata kiwanja hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…