Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Aliekuwa CEO wa mabingwa wa Tanzania Simba Africans ajiunga rasmi katika kilabu cha Yanga, View attachment 1532273View attachment 1532274
Kwa Yanga sasa ni...
giphy.gif
 
Kuna ka ukweli mkuu maana huyo mtu ni professional wa mambo ya utawala kwenye football industry
Mmawia Leo unafuraha kweli, ivi unajua CHADEMA wametoa majina ya wagombea ???! Ha ha ha ha ha hA
 
Simba ni kubwa kuliko Senzo aende tu, aliikuta Simba na mafanikioa na ameiacha na mafanikio.
 
Senzo alikuwa na huo mpango mda mrefu tu.....
Mtu kajiuzuru Leo na Leo Leo kashapata kazi mpya?
Kama ni hivyo basi Pamoja na uweledi wake anatamaa ya pesa....
 
Inawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?

Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!
umetoa wapi mamlaka ya kumpangia maisha
 
Yanga wanaanza kuingia kwenye mabadiliko rasmi kuanzia 31.8.2020. Ndiyo phase ya kwanza inaanza hivyo Yanga siyo wajinga au huyo CEO siyo mbumbumbu kukubali kutoka kwenye neema akenda jehanamu
Na yeye ndo atakamilisha phases zilizobaki, so ni advantage na CV nyingine kwake
 
Akuanzae mmalizie kabisa, kuna tetesi muda huu Instagram kuwa na Chama anamfuata CEO muda mfupi ujao
Nasikia mnakopa wachezaji, mchukueni tu Chama, ila itabidi mumchukue na Mkude, Fraga, Kahata na Boko maana ndio waliokuwa wanamg'arisha.
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Simba SC ila sielewi kwanini bado tunaendekeza utani wa jadi hadi kwenye maswala ya msingi kama haya

Sijaona umuhimu wa kuwahi kumuonesha B Morrison wakati bado kuna mgogoro unaosubiri maamuzi ya TFF
Mkuu hakuna mpira Tanzania subiri siku utakapoambiwa Mo aitema Simba.
 
For the sake of discussion mimi nilijibu baada ya kusoma between the lines hapo Mo alivyoandika

Na niliongelea swala la kilichofanyika jana kwa Morrison na nilielezea kwa jinsi ambavyo sijaridhika na namna ndugu zangu wa Simba walivyolishughulikia

Kulikua na namna bora zaidi ya kufanya tulichofanya bila kuacha majeraha na bado tukatoka washindi(on top)

Ukianza kuona mpaka Mo anajaribu kuzima moto namna hio ndo majeraha ninayoyaongelea

I hope huu upepo utapita tu

(Uhusiano wa Senzo kuondoka na BM kuingia sijausema, labda wewe uniambie)
Professional CEO angejiuzulu na kueleza sababu, sio kukimbilia sebuleni kwa mtu kusaini mikataba ya klabu ya Yanga.
 
Fresh tu Simba Ni zaidi ya Mtu

#SimbaNguvuMoja#
Hv vikauliza vitaturudisha na kutudumaza milele. Acheni tu huko ulaya waendelee jmn, tunavikauli vya kijinga sana. Kwann tusijiulize kunatatizo gani mpk C.e.o aamue kujiuzulu? Hz klabu za Simba na yanga majanga tu ndio maana hata kigwambina kilichopanda daraja tayari kinauwanja lakini hawa wazee wenye mvi hata kiwanja hawana
 
Back
Top Bottom