Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Yanga sasa ni...Aliekuwa CEO wa mabingwa wa Tanzania Simba Africans ajiunga rasmi katika kilabu cha Yanga, View attachment 1532273View attachment 1532274
Kabisa, tunae Magori atatuletea mwingine.Kwa Simba itaajiri mwingine,Simba ndo muongoza njia.
wataweza kumlipia hata king'amuzi na wife kweli?
Mmawia Leo unafuraha kweli, ivi unajua CHADEMA wametoa majina ya wagombea ???! Ha ha ha ha ha hAKuna ka ukweli mkuu maana huyo mtu ni professional wa mambo ya utawala kwenye football industry
Hiyo timu si wameshaibadili mfumo sasa wakiendelea mfumo wao wa kiswahili wataishia kubeba vikombe vya bongo. Kwa uwekezaji ilibidi wapambane kuijenga iwe moja wa klabu kubwa barani Afrika.Manara ana mapungufu mengi ila sema tu kama timu wanachojali ni uhamasishaji tu
Mmegusa moja tumewaonyesha mbili š¤£Fresh tu Simba Ni zaidi ya Mtu
#SimbaNguvuMoja#
Ndo na mimi hoja yangu hii mkuu, wao kutwa kuihujumu yanga tuHiyo timu si wameshaibadili mfumo sasa wakiendelea mfumo wao wa kiswahili wataishia kubeba vikombe vya bongo. Kwa uwekezaji ilibidi wapambane kuijenga iwe moja wa klabu kubwa barani Afrika.
Una matamanio mabaya sanasenzo kwa format ya yanga atalia na majuto juu
umetoa wapi mamlaka ya kumpangia maishaInawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?
Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!
Na yeye ndo atakamilisha phases zilizobaki, so ni advantage na CV nyingine kwakeYanga wanaanza kuingia kwenye mabadiliko rasmi kuanzia 31.8.2020. Ndiyo phase ya kwanza inaanza hivyo Yanga siyo wajinga au huyo CEO siyo mbumbumbu kukubali kutoka kwenye neema akenda jehanamu
Nasikia mnakopa wachezaji, mchukueni tu Chama, ila itabidi mumchukue na Mkude, Fraga, Kahata na Boko maana ndio waliokuwa wanamg'arisha.Akuanzae mmalizie kabisa, kuna tetesi muda huu Instagram kuwa na Chama anamfuata CEO muda mfupi ujao
Mkuu hakuna mpira Tanzania subiri siku utakapoambiwa Mo aitema Simba.Mimi ni shabiki mkubwa wa Simba SC ila sielewi kwanini bado tunaendekeza utani wa jadi hadi kwenye maswala ya msingi kama haya
Sijaona umuhimu wa kuwahi kumuonesha B Morrison wakati bado kuna mgogoro unaosubiri maamuzi ya TFF
Pole sana Kwa kuumia sanaNasikia mnakopa wachezaji, mchukueni tu Chama, ila itabidi mumchukue na Mkude, Fraga, Kahata na Boko maana ndio waliokuwa wanamg'arisha.
Professional CEO angejiuzulu na kueleza sababu, sio kukimbilia sebuleni kwa mtu kusaini mikataba ya klabu ya Yanga.For the sake of discussion mimi nilijibu baada ya kusoma between the lines hapo Mo alivyoandika
Na niliongelea swala la kilichofanyika jana kwa Morrison na nilielezea kwa jinsi ambavyo sijaridhika na namna ndugu zangu wa Simba walivyolishughulikia
Kulikua na namna bora zaidi ya kufanya tulichofanya bila kuacha majeraha na bado tukatoka washindi(on top)
Ukianza kuona mpaka Mo anajaribu kuzima moto namna hio ndo majeraha ninayoyaongelea
I hope huu upepo utapita tu
(Uhusiano wa Senzo kuondoka na BM kuingia sijausema, labda wewe uniambie)
Hv vikauliza vitaturudisha na kutudumaza milele. Acheni tu huko ulaya waendelee jmn, tunavikauli vya kijinga sana. Kwann tusijiulize kunatatizo gani mpk C.e.o aamue kujiuzulu? Hz klabu za Simba na yanga majanga tu ndio maana hata kigwambina kilichopanda daraja tayari kinauwanja lakini hawa wazee wenye mvi hata kiwanja hawanaFresh tu Simba Ni zaidi ya Mtu
#SimbaNguvuMoja#
Hivi vilabu vina wenyewe bhana, wengine acha tubaki mashabiki na watazamaji tu.Hivi vilabu viwili bwana. Ni undava undava tu. Money talks.
Yanga inahitaji wachezaji sio ma technical directorsAliekuwa CEO wa mabingwa wa Tanzania Simba Africans ajiunga rasmi katika kilabu cha Yanga, View attachment 1532273View attachment 1532274