Professional CEO angejiuzulu na kueleza sababu, sio kukimbilia sebuleni kwa mtu kusaini mikataba ya klabu ya Yanga.
🤣🤣🤣🤣Mkuu hakuna mpira Tanzania subiri siku utakapoambiwa Mo aitema Simba.
Huyo mbumbumbu alikuwa anamaanisha WiFiWife ndio nini mbumbumbu fc
Hayo maneno yalifaa ingeyazungumza Jana, ila kwa leo ni Kama maumivu ya pigo la chembe ya Moyo.Hakuna haja ya kumuongelea Senzo, tuongelee Simba na wapi tumefanya sahihi na wapi tumeteleza
Senzo sijui Morrison sijui nani watakuja na wataondoka ila Simba iko pale pale
Ha ha ha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1532422
UnaotaBado Kanda na Chama muda wote wana ungana na CEO wao maana ndiye wanaye elewana lugha, kule wameshindwa kufundishwa kasida na Manara
Hakuna haja ya kujiuliza, mbona Simba inafukuza makocha kila mwaka, tena baada ya kuipa ubingwa? Muhimu ni kusajili wachezaji, hicho cheo cha CEO kinaweza kukaimiwa hata msimu mzima na timu ikachukua ubingwa mara ya nne mfululizo. Kwani Senzo ataingia uwanjani kucheza?Kwann tusijiulize kunatatizo gani mpk C.e.o aamue kujiuzulu? ...
Ujinga woote waliofanya viongozi wa Simba hili la kusababisha Senzo kuondoka halisameheki. Kenzo anathamani kuliko huyo Morison.Mimi ni shabiki mkubwa wa Simba SC ila sielewi kwanini bado tunaendekeza utani wa jadi hadi kwenye maswala ya msingi kama haya
Sijaona umuhimu wa kuwahi kumuonesha B Morrison wakati bado kuna mgogoro unaosubiri maamuzi ya TFF
Unatembea huku unaota kuwa Tripo c kaenda utopolo.Kama hiyo CEO kaenda utopolo sc itakua ni maslahi tu na si kingine.Bado Kanda na Chama muda wote wana ungana na CEO wao maana ndiye wanaye elewana lugha, kule wameshindwa kufundishwa kasida na Manara
Anayefuata kusajiliwa ni Mwamed mwenyeweMatumizi mabaya ya ela.
Inawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?
Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!
Manyani fc mnasemaje?Kauli Kama hi tuliisikia siku nyingi Sana kutoka mikia
Uchebe ndio ataenda yangaKishingo nae halali yetu
Yule mtoto ana nuksi na mtakoma kuringa
Ni maamuzi sahihi kabisa kwa mtu mwenye akili. Hats mimi ningekuwa viongozi wa Simba nisingekubali Morrison aje kwenye klabu yetu. Simkubali kabisa na sitamkubali Hugo mpuuzi Morrison. Na kwa laana niliyompa, Morrison HATAFANIKIWA AKIWA SIMBA NA SIMBA HAITAFANIKIWA IKIWA NA MORRISON.Aliekuwa CEO wa mabingwa wa Tanzania Simba Africans ajiunga rasmi katika kilabu cha Yanga, View attachment 1532273View attachment 1532274
ELA NDIYO NINI?Matumizi mabaya ya ela.
Kwa hiyo hizi zako ndo fact,kwa namna hii ndo maana Senzo kaondoka.Ile Simba unaishi kihunihuni tu.Huyu anaenda kuwa jasusi pale Yanga! Hii ni mbinu ya kuibomoa Yanga! Naiona utopolo fc ikizidi kuyumba ! Trust me! Njia kuu ya kumuua mpinzani ni kuwa na jasusi katika kambi pinzani! Simba sc wamedhamiria kwelikweli kuiua Yanga! Ukibisha uje na facts za kueleweka. SENZO ANAENDA KUWA JASUSI PALE YANGA SC.