Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Professional CEO angejiuzulu na kueleza sababu, sio kukimbilia sebuleni kwa mtu kusaini mikataba ya klabu ya Yanga.

Hakuna haja ya kumuongelea Senzo, tuongelee Simba na wapi tumefanya sahihi na wapi tumeteleza

Senzo sijui Morrison sijui nani watakuja na wataondoka ila Simba iko pale pale
 
Mkuu hakuna mpira Tanzania subiri siku utakapoambiwa Mo aitema Simba.
🤣🤣🤣🤣
92CC8BE7-B1F2-4B41-915F-79581AF02F90.jpeg
 
Kwann tusijiulize kunatatizo gani mpk C.e.o aamue kujiuzulu? ...
Hakuna haja ya kujiuliza, mbona Simba inafukuza makocha kila mwaka, tena baada ya kuipa ubingwa? Muhimu ni kusajili wachezaji, hicho cheo cha CEO kinaweza kukaimiwa hata msimu mzima na timu ikachukua ubingwa mara ya nne mfululizo. Kwani Senzo ataingia uwanjani kucheza?
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Simba SC ila sielewi kwanini bado tunaendekeza utani wa jadi hadi kwenye maswala ya msingi kama haya

Sijaona umuhimu wa kuwahi kumuonesha B Morrison wakati bado kuna mgogoro unaosubiri maamuzi ya TFF
Ujinga woote waliofanya viongozi wa Simba hili la kusababisha Senzo kuondoka halisameheki. Kenzo anathamani kuliko huyo Morison.
 
Bado Kanda na Chama muda wote wana ungana na CEO wao maana ndiye wanaye elewana lugha, kule wameshindwa kufundishwa kasida na Manara
Unatembea huku unaota kuwa Tripo c kaenda utopolo.Kama hiyo CEO kaenda utopolo sc itakua ni maslahi tu na si kingine.
 
*KESHO YANGA WAMEITWA KWENYE KESI YA MORRISON TFF NA YANGA ITAWAKILISHWA NA SENZO*
 
Inawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?

Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!

Kuna jamaa baada ya Senzo kupata ajira Simba yeye aliandika hivi.......

" This simba Simba SC ...it s3ems as if it the then sundowns of tanzania they are having mining crook ...they just sign anything that walks "

ttps://www.kickoff.com/news/articles/south-africa-news/categories/news/premiership/former-orlando-pirates-and-platinum-stars-administrator-senzo-mazingisa-joins-tanzanian-club-simba-s/662840
 
Kwa mtindo huu wa hizi timu zetu kubwa, tutaishia humuhumu uwanja wa Mkapa
 
Huyu anaenda kuwa jasusi pale Yanga! Hii ni mbinu ya kuibomoa Yanga! Naiona utopolo fc ikizidi kuyumba ! Trust me! Njia kuu ya kumuua mpinzani ni kuwa na jasusi katika kambi pinzani! Simba sc wamedhamiria kwelikweli kuiua Yanga! Ukibisha uje na facts za kueleweka. SENZO ANAENDA KUWA JASUSI PALE YANGA SC.
 
Aliekuwa CEO wa mabingwa wa Tanzania Simba Africans ajiunga rasmi katika kilabu cha Yanga, View attachment 1532273View attachment 1532274
Ni maamuzi sahihi kabisa kwa mtu mwenye akili. Hats mimi ningekuwa viongozi wa Simba nisingekubali Morrison aje kwenye klabu yetu. Simkubali kabisa na sitamkubali Hugo mpuuzi Morrison. Na kwa laana niliyompa, Morrison HATAFANIKIWA AKIWA SIMBA NA SIMBA HAITAFANIKIWA IKIWA NA MORRISON.
 
Huyu anaenda kuwa jasusi pale Yanga! Hii ni mbinu ya kuibomoa Yanga! Naiona utopolo fc ikizidi kuyumba ! Trust me! Njia kuu ya kumuua mpinzani ni kuwa na jasusi katika kambi pinzani! Simba sc wamedhamiria kwelikweli kuiua Yanga! Ukibisha uje na facts za kueleweka. SENZO ANAENDA KUWA JASUSI PALE YANGA SC.
Kwa hiyo hizi zako ndo fact,kwa namna hii ndo maana Senzo kaondoka.Ile Simba unaishi kihunihuni tu.
 
Back
Top Bottom