Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kitu extra ni kuhonga marefa na kurogaaKinachomfanya shaolin awe anapiga kungfu sio yale magolole ya ki-monk anayo vaa
ukahisi hata wewe ukipewa uvae utakua unapiga kama yeye kuna kitu extra zaidi ya hiyo miguo unayoiona
Kwanini asiwezwe? Unatimia kigezo gani kuwa chama hawezi kusajiriwa yanga?Hamna kitu, hata mkijua siri ya kumkaba chama, mtamuweza ?!
Senzo amesha wavua nguo kuwa ndani ya simba hakuna kitu inaitwa professionalism na hakuna cha uwekezaji maana hadi sasa Mwamed hataki kabisa kuingiza 20 billionYanga wana maneno mengi sanA, ila hamna kila kitu.
Senzo amesha wavua nguo kuwa ndani ya simba hakuna kitu inaitwa professionalism na hakuna cha uwekezaji maana hadi sasa Mwamed hataki kabisa kuingiza 20 billion
Kwa kuwa tupo wote hapa jf ndiyo unanihukumu kuwa siwezi kuwa na hiyo nafasi?Mahojiano hayo ulifanyanae wewe akakueleza haya uliyoyaandika?
Kwa kuwa tupo wote hapa jf ndiyo unanihukumu kuwa siwezi kuwa na hiyo nafasi?