Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Kinachomfanya shaolin awe anapiga kungfu sio yale magolole ya ki-monk anayo vaa

ukahisi hata wewe ukipewa uvae utakua unapiga kama yeye kuna kitu extra zaidi ya hiyo miguo unayoiona
Kitu extra ni kuhonga marefa na kurogaa
 
Baade musijehapa kulialia kuwa Senzo ni Pandikizi la Simba SC
 
Yanga wana maneno mengi sanA, ila hamna kila kitu.
Senzo amesha wavua nguo kuwa ndani ya simba hakuna kitu inaitwa professionalism na hakuna cha uwekezaji maana hadi sasa Mwamed hataki kabisa kuingiza 20 billion
 
Senzo amesha wavua nguo kuwa ndani ya simba hakuna kitu inaitwa professionalism na hakuna cha uwekezaji maana hadi sasa Mwamed hataki kabisa kuingiza 20 billion

Mahojiano hayo ulifanyanae wewe akakueleza haya uliyoyaandika?
 
Yanga ni Taasisi kubwa Nafasi ya Katibu Mkuu wa Timu inapaswa kutangazwa ili kila mwenye Sifa Stahiki aombe, afanyiwe Usajili, afanye Kazi kwa Weledi kulingana na kile walicho kubaliana ili akifanikiwa wajisifu na asipo fanikiwa aondolewe kihalali!
 
Kwa kuwa tupo wote hapa jf ndiyo unanihukumu kuwa siwezi kuwa na hiyo nafasi?

Nafasi unayo kiongozi!

But nina maswali flani hivi! Senzo alikuwa CEO wa Simba SC, Je? Ameajiriiwa na Cheo chake cha CEO kwenda Yanga? Au ameajiriwa kama Senzo tu cheo kitafuata baadae?

Concerns zangu ni hizi!
Iwapo kwenye Yanga kitaanzishwa Cheo cha CEO kwa ajili ya kumuaccomodate Senzo au atapewa Ukatibu Mkuu kinyume na utaratibu wa Kawaida Yanga wanaotumia kupata Katibu Mkuu basi yatatokea haya:-

• Yanga ikifanikiwa Wanachama, Baadhi ya Viongozi na Washabiki watasifia ujio wa Senzo.
• But Yanga isipopata mabadiliko Wataibuka kina Akili Mali kwenye Wanachama, Baadhi ya Viongozi na Washabiki kuhoji Ajira ya Senzo na taratibu alizopitia za kuajiriwa bila ya hata kufanyiwa usaili, kutangazwa nafasi ya Ajira na maswali mengi tu.

Time will Tell Wabongo hawajawahi kumuacha Mtu Usalama.
 
Back
Top Bottom