Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kitu extra ni kuhonga marefa na kurogaaKinachomfanya shaolin awe anapiga kungfu sio yale magolole ya ki-monk anayo vaa
ukahisi hata wewe ukipewa uvae utakua unapiga kama yeye kuna kitu extra zaidi ya hiyo miguo unayoiona