Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Mimi ni shabiki mkubwa wa Simba SC ila sielewi kwanini bado tunaendekeza utani wa jadi hadi kwenye maswala ya msingi kama haya

Sijaona umuhimu wa kuwahi kumuonesha B Morrison wakati bado kuna mgogoro unaosubiri maamuzi ya TFF
Kutakuwa na tatizo kutoka kwa watu walio kuwa wanapiga pesa kipindi Simba ipo kwenye mfumo wa kijima, sasa hivi huo mfumo umewatema rasmi. Sasa wanamhujumu Mwamed kwa ushauri wa kumuingiza king.

Kina Hanspope na Magori
 
Yaani ukikaa pembeni na kutizama kwa jicho lisilo la kishabiki hata huoni tunafaidika na nini. Sio kwamba tutapata PR nzuri, sio kwamba tutaongeza mashabiki sana sana tunaongeza migogoro tu isiyokua na msingi halafu for what haswa?? Wakati dirisha la usajili lipo wazi tungeweza kusubiri tu hata kwa kufanya fitna huko TFF wamalize halafu tunaruka naye

Sad kwakweli tuna safari ndefu ya kuwa na timu professional haswa.

Wengine watakwambia habari za Kulipiza kisasi eti kwakua na wao walishatufanyia hivyo basi hapo ndo ilitakiwa haswa tujitofautishe nao

Ngoja tuone itakuwaje
 
Tumewatenda mbumbumbu fc utafikiri ni katimu ka mkoani huko! Yaan utadhani hawana mwekezaji! Tukipata mwekezaji si tutanunua mpaka kajengo kao na kale ka uwanja kao kule Bunju
Bado Kanda na Chama muda wote wana ungana na CEO wao maana ndiye wanaye elewana lugha, kule wameshindwa kufundishwa kasida na Manara
 
Wewe na yeye nani anafaa kujutia uamuzi wake?
kama kweli senzo kakimbia simba sababu ya uamuzi wa kuhusu morrison na issue ya sven then he has to brace himself for a bumpy ride,mfumo wa yanga kila siku atagombana na kina msola na mwakalebela,tupo hapa aseme tu kapewa maslahi makubwa yanga
 
KESHO ANATANGAZWA RASMI
TUTAKUWANANPICHA KAMA HII
TOFAUTI NYUMA ATUTAKUWA NA MATANGAZO MACHAFU MACHAFU KAMA HAYA
GSM..LDN
IMG-20200809-WA0019.jpg
 
Yaani ukikaa pembeni na kutizama kwa jicho lisilo la kishabiki hata huoni tunafaidika na nini. Sio kwamba tutapata PR nzuri, sio kwamba tutaongeza mashabiki sana sana tunaongeza migogoro tu isiyokua na msingi halafu for what haswa?? Wakati dirisha la usajili lipo wazi tungeweza kusubiri tu hata kwa kufanya fitna huko TFF wamalize halafu tunaruka naye

Sad kwakweli tuna safari ndefu ya kuwa na timu professional haswa.

Wengine watakwambia habari za Kulipiza kisasi eti kwakua na wao walishatufanyia hivyo basi hapo ndo ilitakiwa haswa tujitofautishe nao

Ngoja tuone itakuwaje
Nakubaliana na wewe, amini mtu kama Hanspope anatumia uzoefu wake kumharibia Mwamed maana naamini Mwamed ana nia haswa ya kuibadilisha kweli Simba kwenda kwenye u professional
 
kama kweli senzo kakimbia simba sababu ya uamuzi wa kuhusu morrison na issue ya sven then he has to brace himself for a bumpy ride,mfumo wa yanga kila siku atagombana na kina msola na mwakalebela,tupo hapa aseme tu kapewa maslahi makubwa yanga
Yanga hawana ela ya kumlipa Senzo. Na pia hawana cheo cha CEO, atakuwa katibu mkuu, na katibu wa Yanga hana nguvu.
 
Back
Top Bottom