Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Akuanzae mmalizie kabisa, kuna tetesi muda huu Instagram kuwa na Chama anamfuata CEO muda mfupi ujaoDah! muddy kaandika kinyonge kabisa wakati jana tu wallikuwa na shangwe la Morrison
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akuanzae mmalizie kabisa, kuna tetesi muda huu Instagram kuwa na Chama anamfuata CEO muda mfupi ujaoDah! muddy kaandika kinyonge kabisa wakati jana tu wallikuwa na shangwe la Morrison
Acha mamb yako.Akuanzae mmalizie kabisa, kuna tetesi muda huu Instagram kuwa na Chama anamfuata CEO muda mfupi ujao
Kutakuwa na tatizo kutoka kwa watu walio kuwa wanapiga pesa kipindi Simba ipo kwenye mfumo wa kijima, sasa hivi huo mfumo umewatema rasmi. Sasa wanamhujumu Mwamed kwa ushauri wa kumuingiza king.Mimi ni shabiki mkubwa wa Simba SC ila sielewi kwanini bado tunaendekeza utani wa jadi hadi kwenye maswala ya msingi kama haya
Sijaona umuhimu wa kuwahi kumuonesha B Morrison wakati bado kuna mgogoro unaosubiri maamuzi ya TFF
Chama anaenda yangaChama kama chama
Achana na kishingo
Wewe na yeye nani anafaa kujutia uamuzi wake?senzo kwa format ya yanga atalia na majuto juu
Nahisi kufa,Hivi vilabu viwili bwana. Ni undava undava tu. Money talks.
Siyo mimi mkuu hao ni wenye maamuzi yao sisi ni watazamaji na washangiliaji tuAcha mamb yako.
Ulifurahia sana issue ya Morrison mkuu kulia ni kupokezanaNahisi kufa,
Kutakuwa na tatizo kutoka kwa watu walio kuwa wanapiga pesa kipindi Simba ipo kwenye mfumo wa kijima, sasa hivi huo mfumo umewatema rasmi. Sasa wanamhujumu Mwamed kwa ushauri wa kumuingiza king.
Kina Hanspope na Magori
Pdidy, upoo ?! Muite GENTAMICINE Aje aseme kitu.NA YULE MSHAMBULIAjI NILIEPISHNA NAE LEO GSM NAE MKAE mkao wA KUMWAGA WANA SSC
Bado Kanda na Chama muda wote wana ungana na CEO wao maana ndiye wanaye elewana lugha, kule wameshindwa kufundishwa kasida na ManaraTumewatenda mbumbumbu fc utafikiri ni katimu ka mkoani huko! Yaan utadhani hawana mwekezaji! Tukipata mwekezaji si tutanunua mpaka kajengo kao na kale ka uwanja kao kule Bunju
kama kweli senzo kakimbia simba sababu ya uamuzi wa kuhusu morrison na issue ya sven then he has to brace himself for a bumpy ride,mfumo wa yanga kila siku atagombana na kina msola na mwakalebela,tupo hapa aseme tu kapewa maslahi makubwa yangaWewe na yeye nani anafaa kujutia uamuzi wake?
Nakubaliana na wewe, amini mtu kama Hanspope anatumia uzoefu wake kumharibia Mwamed maana naamini Mwamed ana nia haswa ya kuibadilisha kweli Simba kwenda kwenye u professionalYaani ukikaa pembeni na kutizama kwa jicho lisilo la kishabiki hata huoni tunafaidika na nini. Sio kwamba tutapata PR nzuri, sio kwamba tutaongeza mashabiki sana sana tunaongeza migogoro tu isiyokua na msingi halafu for what haswa?? Wakati dirisha la usajili lipo wazi tungeweza kusubiri tu hata kwa kufanya fitna huko TFF wamalize halafu tunaruka naye
Sad kwakweli tuna safari ndefu ya kuwa na timu professional haswa.
Wengine watakwambia habari za Kulipiza kisasi eti kwakua na wao walishatufanyia hivyo basi hapo ndo ilitakiwa haswa tujitofautishe nao
Ngoja tuone itakuwaje
Yanga hawana ela ya kumlipa Senzo. Na pia hawana cheo cha CEO, atakuwa katibu mkuu, na katibu wa Yanga hana nguvu.kama kweli senzo kakimbia simba sababu ya uamuzi wa kuhusu morrison na issue ya sven then he has to brace himself for a bumpy ride,mfumo wa yanga kila siku atagombana na kina msola na mwakalebela,tupo hapa aseme tu kapewa maslahi makubwa yanga